Marais Wastaafu huwa wanaishi kweli kwenye hizo nyumba?

Hilo ni moja, kubwa ni lile la Mkwere kusema mbele ya hadhara kuwa amepanga na anadaiwa kodi hivyo waharakishe ujenzi wa nyumba hiyo, kweli kabisa huyi ndio raisi anayekumbukwa na akina wanaojiita wapinzani na wanaharakati?

Tunawaiga mabeberu kwenye ujinga, ila kwenye masuala ya msingi tunaruka kimanga, wakina Bush na wenzake walijengeana nyumba na kupeana mabenzi?

Walivalishana nishani za heshima tu kama alikuwa na mchango wake kwa jamii zaidi ya uraisi, eti nyumba, mishahara, wahudumu, magari, na ubabe mwingine mwingi, walimu wastaafu wanasotea mafao yao huko mpaka wanakufa hawajaona hata kile walicholazimishwa kuchangia.
 
Hakusema anadaiwa kodi alisema mafund watengeneze kiweled wasitengeneze kwa haraka kwa sabab huko alipopanga hadaiw kodi na alisema hivyo baada ya marhum kuwaambia mafund wafanye fasta fasta.
 
Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu…

Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa?

Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali?

Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake majuzi hapa!

Atahamia na kuanza kuishi humo au?

Na huwa zinakuwa furnished au huwa wanakabidhiwa jengo tu lakini mengineyo ni juu yao?

Na wasipohamia inakuwaje? Wanaweza kuzipangisha na kunufaika kibiashara? Wanaweza kuziuza?

Sina tatizo na huo utaratibu wa kuwajengea nyumba ila nadhani suala zima linatakiwa kuangaliwa upya na kuweka utaratibu na masharti yake wazi ili Watanzania walipa kodi wajue namna pesa zao zitumikavyo.
Kikwete anaweza kuhamia ila nadhani ya Mwinyi ni kwa ajili ya watoto wake na wajukuu.

Amandla....
 
Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu…

Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa?

Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali?

Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake majuzi hapa!

Atahamia na kuanza kuishi humo au?

Na huwa zinakuwa furnished au huwa wanakabidhiwa jengo tu lakini mengineyo ni juu yao?

Na wasipohamia inakuwaje? Wanaweza kuzipangisha na kunufaika kibiashara? Wanaweza kuziuza?

Sina tatizo na huo utaratibu wa kuwajengea nyumba ila nadhani suala zima linatakiwa kuangaliwa upya na kuweka utaratibu na masharti yake wazi ili Watanzania walipa kodi wajue namna pesa zao zitumikavyo.
Na ndiyo maana atu wanashindana kuchukua vyao mapema kwakuwa wanaona wengine wananeemeka na wengine wanaishia kuwa mafukara kisa huyu rais na huyu raia, haya ni maisha ya kitwana na kibwana kwa kodi za wanyonge
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma, wanapangisha na kupiga pesa

Hao watoto wao hapo baadae wanaweza kuziuza na kugawana pesa kila mtu aende kivyake!! Hasa wale wa kutoka mama mbali mbali!!! Kuna umuhimu wa kuliangalia upya suala hili na kuliwekea masharti liendane na jinsi Taifa lilivyotarajia.
 
Nikikupa kiatu,sikukazimishi ukivae mfano kila jumanne.utavaa utakavyo.ni Mali yako.
 
Ni urithi wake kwa familia yake. Na sio suala la nyumba tu, hizo ni super prime areas. Gharama ya viwanja ni zaidi ya nyumba.

Amandla...
Acquiring generational wealth at the expense of taxpayers’ money!

Their post-presidency benefits package need a review.

Nchi tajiri ambazo sisi huenda kuomba misaada ya kila aina, baadhi yake hazina mambo kama hayo!

Sisi tusio matajiri tunatumia hela utadhani tuko matajiri.

Kuna mambo hayako sawa kabisa..
 
Yaani hao wote uliowataja kumbe wanatutegemea sisi tuwalishe kupitia Kodi zetu!? Tumekwisha Mungu tuhurumie na huo msururuu wa Mizigo!!

Sio hao tu tunaowalisha na familia zao bali ongezea kwenye hiyo orodha wanajeshi wote wenye vyeo kuanzia Major General na kwenda juu wote hao wakistaafu tunawalisha!!! Pia wamo Spika wa bunge wastaafu na majaji wa mahakama kuu wastaafu wote tunawalisha mpaka kufa kwao!!! Huu ni mzigo mzito sana kwa nchini maskini.
 
Nikikupa kiatu,sikukazimishi ukivae mfano kila jumanne.utavaa utakavyo.ni Mali yako.

Ndio mana tunapendekeza kuwa hizi nyumba wajengewe lakini kuwe na masharti ambayo yataendana na dhamira ya hawa wastaafu na wenzi wao waweze kuishi kwa hadhi waliozoea mpaka kufa kwao!! Sio tena watoto wao waje kuuza na kutangaza ufalme mitaani!!

Nikikupa kiatu cha kuchezea mpira, nategemea utavitumia kuchezea mpira na sio kwenda navyo dansini!!
 
Hilo ni moja, kubwa ni lile la Mkwere kusema mbele ya hadhara kuwa amepanga na anadaiwa kodi hivyo waharakishe ujenzi wa nyumba hiyo, kweli kabisa huyi ndio raisi anayekumbukwa na akina wanaojiita wapinzani na wanaharakati?

Tunawaiga mabeberu kwenye ujinga, ila kwenye masuala ya msingi tunaruka kimanga, wakina Bush na wenzake walijengeana nyumba na kupeana mabenzi?

Walivalishana nishani za heshima tu kama alikuwa na mchango wake kwa jamii zaidi ya uraisi, eti nyumba, mishahara, wahudumu, magari, na ubabe mwingine mwingi, walimu wastaafu wanasotea mafao yao huko mpaka wanakufa hawajaona hata kile walicholazimishwa kuchangia.
Na watapeana mpaka nchi ioze tena. Kwa nini wasipelekwe kigamboni kwenye Nyumba za wazee? Na Tanzania tuna akili ya vifaranga vya kuku, come 2025, tutawschagua kwa vishindo
 
Hata kama wangekuwa wanaishi, huu bado ni uharibifu mkubwa wa pesa za walipa kodi
 
Back
Top Bottom