Ni ujinga sio lazima kufuata kila kitunyumba ni fully furnished na wanahamia ...walio wengi ...ni swala la kikatiba na ilikwisha pita Mh Mama Samia SULUHU H anatekeleza tu...
Matumizi mabaya ya fedha za umma, wanapangisha na kupiga pesa
Hakusema anadaiwa kodi alisema mafund watengeneze kiweled wasitengeneze kwa haraka kwa sabab huko alipopanga hadaiw kodi na alisema hivyo baada ya marhum kuwaambia mafund wafanye fasta fasta.Hilo ni moja, kubwa ni lile la Mkwere kusema mbele ya hadhara kuwa amepanga na anadaiwa kodi hivyo waharakishe ujenzi wa nyumba hiyo, kweli kabisa huyi ndio raisi anayekumbukwa na akina wanaojiita wapinzani na wanaharakati?
Tunawaiga mabeberu kwenye ujinga, ila kwenye masuala ya msingi tunaruka kimanga, wakina Bush na wenzake walijengeana nyumba na kupeana mabenzi?
Walivalishana nishani za heshima tu kama alikuwa na mchango wake kwa jamii zaidi ya uraisi, eti nyumba, mishahara, wahudumu, magari, na ubabe mwingine mwingi, walimu wastaafu wanasotea mafao yao huko mpaka wanakufa hawajaona hata kile walicholazimishwa kuchangia.
Kikwete anaweza kuhamia ila nadhani ya Mwinyi ni kwa ajili ya watoto wake na wajukuu.Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu…
Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa?
Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali?
Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake majuzi hapa!
Atahamia na kuanza kuishi humo au?
Na huwa zinakuwa furnished au huwa wanakabidhiwa jengo tu lakini mengineyo ni juu yao?
Na wasipohamia inakuwaje? Wanaweza kuzipangisha na kunufaika kibiashara? Wanaweza kuziuza?
Sina tatizo na huo utaratibu wa kuwajengea nyumba ila nadhani suala zima linatakiwa kuangaliwa upya na kuweka utaratibu na masharti yake wazi ili Watanzania walipa kodi wajue namna pesa zao zitumikavyo.
Ni urithi wake kwa familia yake. Na sio suala la nyumba tu, hizo ni super prime areas. Thamani ya kiwanja ni zaidi ya nyumba...wakiaga dunia hiyo nyumba inarudi serikalini, au ni miliki ya familia?
Na ndiyo maana atu wanashindana kuchukua vyao mapema kwakuwa wanaona wengine wananeemeka na wengine wanaishia kuwa mafukara kisa huyu rais na huyu raia, haya ni maisha ya kitwana na kibwana kwa kodi za wanyongeNi hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu…
Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa?
Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali?
Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake majuzi hapa!
Atahamia na kuanza kuishi humo au?
Na huwa zinakuwa furnished au huwa wanakabidhiwa jengo tu lakini mengineyo ni juu yao?
Na wasipohamia inakuwaje? Wanaweza kuzipangisha na kunufaika kibiashara? Wanaweza kuziuza?
Sina tatizo na huo utaratibu wa kuwajengea nyumba ila nadhani suala zima linatakiwa kuangaliwa upya na kuweka utaratibu na masharti yake wazi ili Watanzania walipa kodi wajue namna pesa zao zitumikavyo.
Matumizi mabaya ya fedha za umma, wanapangisha na kupiga pesa
Ulienda kubisha hodi ujakuta mtuNani anakuwa anaishi humo na wakati hakuna mtu anaishi humo?
Wanakurithisha wewe Dada..wakiaga dunia hiyo nyumba inarudi serikalini, au ni miliki ya familia?
Nikikupa kiatu,sikukazimishi ukivae mfano kila jumanne.utavaa utakavyo.ni Mali yako.Hao watoto wao hapo baadae wanaweza kuziuza na kugawana pesa kila mtu aende kivyake!! Hasa wale wa kutoka mama mbali mbali!!! Kuna umuhimu wa kuliangalia upya suala hili na kuliwekea masharti liendane na jinsi Taifa lilivyotarajia.
Acquiring generational wealth at the expense of taxpayers’ money!Ni urithi wake kwa familia yake. Na sio suala la nyumba tu, hizo ni super prime areas. Gharama ya viwanja ni zaidi ya nyumba.
Amandla...
Sahihisha, analipwa 80% ya mshahara wa rais aliyeko madarakani kwa wakati huo.Halafu unakuta kwa sababu alijengewa Rais, maji na umeme serikali inalipa na huku anayedhaniwa ni mkazi analipwa allowance ambayo ni 80% ya mshahara wake wa mwisho!!
Sahihisha, analipwa 80% ya mshahara wa rais aliyeko madarakani kwa wakati huo.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Yaani hao wote uliowataja kumbe wanatutegemea sisi tuwalishe kupitia Kodi zetu!? Tumekwisha Mungu tuhurumie na huo msururuu wa Mizigo!!
Nikikupa kiatu,sikukazimishi ukivae mfano kila jumanne.utavaa utakavyo.ni Mali yako.
Na watapeana mpaka nchi ioze tena. Kwa nini wasipelekwe kigamboni kwenye Nyumba za wazee? Na Tanzania tuna akili ya vifaranga vya kuku, come 2025, tutawschagua kwa vishindoHilo ni moja, kubwa ni lile la Mkwere kusema mbele ya hadhara kuwa amepanga na anadaiwa kodi hivyo waharakishe ujenzi wa nyumba hiyo, kweli kabisa huyi ndio raisi anayekumbukwa na akina wanaojiita wapinzani na wanaharakati?