Marais Wastaafu huwa wanaishi kweli kwenye hizo nyumba?

Kuna ulazima wa kuliangalia upya suala zima!
Mzee Nyerere jeshi lilimjengea kutokana na ukweli hakuwa na nyumba ya hadhi yake pale Mwitongo Muriti Butiama alipo amua kwamba anaenda kuishi... Mzee Kikwete pale Msoga alijengewa mpaka rami inayofika langoni kwake kwa kodi zetu na kwakuwa anatamaa ya mali hakupinga hekalu jingine kwa kodi zetu kujengwa... ili hali ana mijumba mikoa karibu minne.
 
Wanaotunzwa ni wengi hadi wake zao mfano:
1. Maria Nyerere
2. Mama Sokoine
 
Ndio maana wengi wanazungushwa kwenye ukanali hadi wanastaafu.
 
Tanzania tunawaenzi wastaafu kwa vitendo
 
Kikwete aliiba mabillioni akiwa waziri na pia akiwa Rais. Wabongo tuna akili ya kuku. Hawa kuomba hizo Nyumba bali tunawapa kwa kazi nzuri ya kuchota mahekalu yetu. These people are criminals. Labda ni matakwa ya Mungu maana kila kitu ni Mungu. Only JPM is clean, wengine sijui. Washitskiwe, sheria ibadilishwe.
 
Wote ni wezi, hakuna cha JPM wala mpj.....aliiba akiwa waziri na ameiba akiwa kwenye ufalme....
 
Hujagusia ma-generali na maafande wengine, majaji...nk. wala hawayahitaji kwani vizazi vyao vimesha jihakikishia makazi - nje na ndani ya nchi.
Na haya yote yanafanyika ktk nchi ambapo wapo wazee wanaokufa kwa kukosa pesa ya matibabu..., vipaumbele vilivopinda!
 
Ni urithi wake kwa familia yake. Na sio suala la nyumba tu, hizo ni super prime areas. Thamani ya kiwanja ni zaidi ya nyumba.

Amandla...
Inamaana hata sumaye anaishi maeneo hayo? Mbona namuona maskini maskini sana !
 
Nchi inaliwa utafikiri hakuna kesho, eti matakwa ya Mungu- hawa viongozi wetu wasiruhusiwe kwenda misikitini au makanisani- ni wezi wa hela zetu.
 
Kikwete anaweza kuhamia ila nadhani ya Mwinyi ni kwa ajili ya watoto wake na wajukuu.

Amandla....
Watoto wa Mwinyi? Sema wajukuu, maana watoto mmoja ndio huyo Rais na mwingine Jana ameteuliwa na Samia sijui kuwa Nani Yule balozi Mwiyii, hao watoto wake wote watu wazima na Wana vyeo serikalini actually nao wanajengewa majumba kulingana na vyeo vyao.
 
Kuna siku wa Tanganyika tutachola - huu Mwungano ni upuuzi mtupu, wao kutawala Bara sisi mbona hatuendi Zanzibar. Samia oyeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…