Marais Wastaafu huwa wanaishi kweli kwenye hizo nyumba?

Unamjua Sumaye au unamsikia aisee? Huyo ni tajiri wa kufanmtu sema hakubadilisha lifestyle yake zamani tumepiga nae sana konyagi pale Hisaje bunju akiwa na walinzi wake.
Mh sumaye sidhani we waziri mkuu anakatisha chocho za ilala kwa miguu huku kavaa sendo sioni huo utajiri unaousema pale mvomero jpm alipokonya kashamba kake akalia kinoma na hajarudishiwa angekuwa giant na tycoon asingeguswa.
 
Mafao ya viongozi wakuu wa nchi ni hoja nyeti sana,ba hutofautiana nchi na nchi,kwamba nyumba huwa fully furnished,ndio huwa na kila kitu.
Kwamba huwa wanaushi au la hii sina hakika,lakini kuishi au kutokuishi kwenye nyumba hizo,haiwezi kuwa hoja kwenye kutoa mafao kwa viongozi wakuu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana hivi vinchi pumbafu kama haka ka kwetu upata maendeleo inakuwa ndoto, viongoz wote walopita ni majizi matupu
 
Ok but Kikwete alikuwa akizoa benki kuu, ya escarow etc yaliishia wapi? Mwinyi si mzanzibari vipi Nyumba amejengewa Msasani. Huu Mwungano ni kwa wazanzibari kuja kutawala Bara?
Ndiyo maana nilisema wote wezi! Hivi kwa mtu mwenye akili timamu, amekuwa waziri na kiongozi miaka kibao, ana majumba kadhaa.... atakubali macho makavu kabisa mamilioni ya hela ya umma yatumike kumjengea nyumba?!
Hao watu wizi umewalemaza bongo zao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…