Marais Wastaafu na Viongozi wa Dini ni wajibu wenu kuandaa maridhiano baina ya CCM na Upinzani

Ukweli ni kuwa, ccm imeshapoteza ushawishi kwa umma, na inakaa madarakani kwa shuruti. Hapo ilipo ccm haiwezi kukubali majadiliano maana inajua fika majadiliano yataiweka kwenye mazingira ya kuheshimu uchaguz...
CCM hawakubali hadi mlipuko uwalipue.
 
CCM hawakubali hadi mlipuko uwalipue.
Kabisa, huwa nasema kwa hapa ccm ilipofikia Machafuko tu ndio yatawatoa, maana waona aibu na fedheha kubwa kushindwa. Hivyo wanaona bora waendelee kupora uchaguzi kuliko kushindwa kihalali.
 
Wakati mwingine ukitafakari kiroho utajua kwanini Mungu anawajaza kuburi wafanye Mambo Kama vipofu, ili kukuche hakuna Budi kiza kitande. Salute kwa CDF alitoa hotuba njema kutambua support ya serikali ya Ujerumani kwa JWTZ, wakizindua hospitali maalumu ya kisasa magonjwa mlipuko Lugalo, pia Balozi German kuahidi mwakani Her Excellence Mama Samia ashiriki uwekaji jiwe la msingi Dodoma.Tunayo maboma mengi sector ya afya JPM hayana vifaa tiba, tuharibu mahusiano na wadau kisa tamaa za CCM!??? Tanzania ni kubwa zaidi ya CCM tuanze kufikiri nje ya box.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…