Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali



Rais Magufuli leo amemkabidhi Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi nyumba aliyojengewa na serikali masaki jijini Dsm.

Mzee Mwinyi amekuwa akiishi katika nyumba yake mwenyewe pale Mikocheni/ Msasani karibu na nyumbani kwa mwalimu Nyerere.

=====
Sheria inasema:

9.-(1) A leader who held the office of the President of the United Republic, shall upon ceasing to hold office, be granted:

(d) a furnished house containing not less than four bed rooms of which two rooms shall be self contained and shall contain-

(i) a furnished office;

(ii) a servant quarter;


THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT
BENEFITS ACT, 1999
 
Hakika mwenye nacho huongezewa.....hawa wazee wetu wastaafu pamoja na benefits zote...bado wanajaziana nyumba tu.
Wananchi wanazoa maji tu majumbani...
Poleni wapiga kura.
Ni sheria mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…