Marais Wastaafu wa Tanzania wapo Dodoma wakisubiri hotuba ya Rais Magufuli

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Mstaafu Dr. Gharib Bilal wakiwa Bungeni mjini Dodoma wakisubiri kusikia hotuba ya kulivunja Bunge leo kutoka kwa Rais Dkt. John Magufuli.

 
Hata Zitto Kabwe tangu Bunge hili lianze hakuhudhuria hata kikao kimoja na akalijulisha Bunge asilipwe posho za Vikao lakin Jana ghafla bin Vuu akatinga Bungeni kuja kusikiliza hotuba bora ya Nusu Karne toka kwa The Great JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…