technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani
Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.
Ungemalizia na majani wakuu wastaafu pia walikuwepo. Ila yuleee... sijui yukwapi?!! I think he was also supposed to be there🤔Marais wasitaafu wote leo wameuaga Mwili Wa Jaji mstaafu Augustine Ramadhani
Tayari Kwenda Kuzikwa Marais Hao Wakiongozwa Na Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete Wameuaga Mwili Wa Jaji Huyo Mstaafu.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu amen.
MafichoniRaisi wa sasa yupo wapi au ana kazi nyingi?
Kwa sababu ni jaji mstaafuKwa nini marais wastaafu tu?
Hii ya mkulu kujificha kijijini sijawahi kusikia popote Duniani. Magufuli ataingiakwenye Guness book of records.
Hivi hawa kumbe wapo! RIP Mahiga!
..Raisi wa sasa yuko wapi?
..ana udhuru gani?
..amesafiri nje ya nchi?