Marais Wastaafu wamuaga Jaji Augustino Ramadhani

Pole sana kwa wote waliofikwa na msiba huo.
 
JokaKuu hufahamu kwanini rais hakuwepo. Sifikirii kuna sababu yoyote ya rais kusema kwa nini hakuwa hapo, kuna mambo mengi ambayo sio lazima wewe na mimi tuambiwe kwanini JPM hakuwepo.

..Raisi ni mtumishi wangu,wako, na waTz wote.

..Watanzania wana HAKI ya kujua Raisi waliyemuweka madarakani yuko wapi ktk kipindi chote atakachokuwa madarakani.
 
Lakini huoni anayofanya wakati yuko Chato? Leo hii ndio mnaona umuhimu wa rais? Wacheni basi kutoa kejeli FYI mimi kwa maoni yangu hao marais wastaafu ndio walifanya kazi wakati wake mfiwa, vile vile haya mambo ya misiba ni maswala binafsi, kumbuka sherehe za Muungano mwaka huu hazikufanyika na mambo mengine kadhaa. JPM yupo nyumbani na kazi anafanya sasa nyinyi mbona mna wasi wasi sana? Inapobidi watu wanamfuata Chato. Hata Baba wa Taifa viongozi walikuwa wanamfuata Butiama itakuwa Chato? Wacheni hayo as I said sio kila kitu cha rais lazima muambiwe, kama ni hiyvo basi badilisheni sharia iliyopo maana haikidhi kiu yenu.

Sikufahamu kwamba wale wanaompiga vijembe, majungu na kejeli kila uchwao wanampenda namna hii na kum-miss.
 
Takataka
 
..Raisi wa sasa yuko wapi?

..ana udhuru gani?

..amesafiri nje ya nchi?
Swali ambalo huwa najiuliza, ikiwa coronavirus imemfanya aikimbie Chato na kujificha huko, hivi hii nchi ikivamiwa kijeshi hata na kataifa kama Burundi au Comoro, si atakimbia na kwenda kuishi kwenye meli ya kijeshi kabisa, tena kati kati ya bahari, huku meli ikiwa imezungukwa na meli za kivita za kivita za kuilinda meli aliyojificha!!

Kwa kupenda kuvaa sare za kijeshi sasa... kumbe jamaa full lonya lonya!!
 
Back
Top Bottom