Dah yaani hapo nimewaza sana hata Mizengo yuko poaKweli kenyata handsome na mtanashati kwa jicho lake lile mkuu?
Unapinga umama afu unafanya umama kwa NkurunzinzaNi UMAMA huo kuwasifia wanaume wenzenu.
Halafu huyo number 6, Pierre Nkurunzinza, aliemweka hapo atakua na MAKENGEZA au KIPOFU.[emoji18] [emoji47] [emoji57]
Hii ni kwa marais tu ndugu,sio kwa wanaume wote.Kama hao ndo mahandsome kweli watu hawajui watu wazuri. Au jicho la mwandishi ndo aliwaona yeye?
Kuna neno nimetumia "KUSIFIA" wanaume wenzako.Unapinga umama afu unafanya umama kwa Nkurunzinza
Ni umama kusema aliyemweka Nkurunzinza ni MAKENGEZA au KIPOFU. Hata mtu asiye kilaza kama mimi atakuwa amekuelewa.Kuna neno nimetumia "KUSIFIA" wanaume wenzako.
Sasa, kwakua umeonesha wewe ni mzembe/kilaza darasani, nakupa homework ukeshe nayo leo usiku, uangalie comment yangu kama nime "SIFIA" au "NIMEPONDA".[emoji18]
Wala sikulaumu wewe, makosa sio yako.[emoji18]Ni umama kusema aliyemweka Nkurunzinza ni MAKENGEZA au KIPOFU. Hata mtu asiye kilaza kama mimi atakuwa amekuelewa.
Acha umama we jamaa.
Asante kwa kunielewaWala sikulaumu wewe, makosa sio yako.[emoji18]
Atakuwa aidha mlevi Au Bange mtuKweli kenyata handsome na mtanashati kwa jicho lake lile mkuu?