Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

Wapi Mkemia wetu....
1542191243590.png
1542191243590.png1542191243590.png1542191243590.png1542191243590.png1542191243590.png1542191243590.png1542191243590.png
 
Kama hao ndo mahandsome kweli watu hawajui watu wazuri. Au jicho la mwandishi ndo aliwaona yeye?
 
Unapinga umama afu unafanya umama kwa Nkurunzinza
Kuna neno nimetumia "KUSIFIA" wanaume wenzako.

Sasa, kwakua umeonesha wewe ni mzembe/kilaza darasani, nakupa homework ukeshe nayo leo usiku, uangalie comment yangu kama nime "SIFIA" au "NIMEPONDA".[emoji18]
 
Ni umama kusema aliyemweka Nkurunzinza ni MAKENGEZA au KIPOFU. Hata mtu asiye kilaza kama mimi atakuwa amekuelewa.

Acha umama we jamaa.
 
Back
Top Bottom