Marais watanashati (handsome)duniani Afrika hatujaachwa nyuma

Dah! Leo ndiyo nashangaa kuona wanaume wakibishania u handsome
Unashangaa nini mazee!,kwani dhambi?unawajua mahendsome wa kwenye Biblia,au Koran?
Isack
Yusuf a.k.a Josef
Daudi
etc
Je Biblia si neno la Mungu,sasa aliewataja humo ni nani?
 
Unashangaa nini mazee!,kwani dhambi?unawajua mahendsome wa kwenye Biblia,au Koran?
Isack
Yusuf a.k.a Josef
Daudi
etc
Je Biblia si neno la Mungu,sasa aliewataja humo ni nani?
Unatumia vigezo gani ku proove kwamba biblia ni neno la mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…