Trouton
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 1,203
- 1,381
mbona wamemuweka na Obama?Top 10 Most Handsome President in The World 2018
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wamemuweka na Obama?Top 10 Most Handsome President in The World 2018
Hapo ndipo waliponichosha na mie,yet hawajamuweka Mkwee wetumbona wamemuweka na Obama?
Unashangaa nini mazee!,kwani dhambi?unawajua mahendsome wa kwenye Biblia,au Koran?Dah! Leo ndiyo nashangaa kuona wanaume wakibishania u handsome
Unatumia vigezo gani ku proove kwamba biblia ni neno la mungu?Unashangaa nini mazee!,kwani dhambi?unawajua mahendsome wa kwenye Biblia,au Koran?
Isack
Yusuf a.k.a Josef
Daudi
etc
Je Biblia si neno la Mungu,sasa aliewataja humo ni nani?
Huyu hapaWapi Mkemia wetu....