NAAMINI
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 672
- 235
Ndugu zangu wanazuoni kutokana na hali tete ya kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais wa vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi tukifungua vyuo vyote Tanzania tunaomba marais wajipime na wajiuzulu kabla ya nguvu ya umma haijaamua.
Kweli hawa jamaa wameshindwa kuitisha hata press conference na kutuma altumatum kwa government.
NAOMBA WANAHARAKATI WA VYUO VYOTE TUSHIRIKIANE KUHAKIKISHA TUNAWATOA WATU HAWA
.KATIKA HILI SITARUDI NYUMA NA NIPO TAYARI KUFA NIKISIMAMIA HILI....
Naomba mnipm ili tujue tunafanyeje na tunaorganize vp mapinduzi haya...
Wenu katika harakati za ujenzi wa taifa letu...