Marais wote wa vyuo vikuu wajiuzulu

Marais wote wa vyuo vikuu wajiuzulu

Mmesahau mnavyotumiwa vibaya na watumia hovyo pesa ya nchi hii? Hayo ni manyunyu tu, subirini mvua za kutoka na degree zisizo na kazi! Mnapumbazwa na vitu vidogo, hata hamwezi kujadili mambo makubwa ya nchi yenu? Tafuteni historia za viongozi walioko madarakani sasa walipokuwa shuleni zilikuwaje mkajifunze.
 
Kwanza wewe unaonekana huna hata elements za uana harakati. Katafute wanaharakati wakuambie aharakati zinafanywaje.

Pili unaonekana unasoma vyuo vya uswahilini kama Datastar au Global training.

Udsm, Udom, Saut, Ardhi haina watu kwama wewe.

ndugu zangu wanazuoni
kutokana na hali tete ya kupata pesa za field na kwa ukimya wa marais wa
vyuo vikuu pamoja na TAHLISO napenda kutoa wazo ya kuwa mwezi wa kumi
tukifungua vyuo vyote Tanzania tunaomba marais wajipime na wajiuzulu
kabla ya nguvu ya umma haijaamua....Kweli hawa jamaa wameshindwa
kuitisha hata press conference na kutuma altumatum kwa
government.....NAOMBA WANAHARAKATI WA VYUO VYOTE TUSHIRIKIANE
KUHAKIKISHA TUNAWATOA WATU HAWA....KATIKA HILI SITARUDI NYUMA NA NIPO
TAYARI KUFA NIKISIMAMIA HILI....

Naomba mnipm ili tujue tunafanyeje na tunaorganize vp mapinduzi haya...

Wenu katika harakati za ujenzi wa taifa letu...
 
Nashukuru kwa kuniita mjinga...nazani ww ni mmoja wa viongozi ambao itabidi watolewe....

Hoja ni pesa za kufanya wazalendo hawa walioamua kwenda kutumikia taifa japo pesa haikutoka lakini wakaenda wakiamini viongozi wataishinikiza serikali itoe pesa lakini viongozi hao wamejifungia ndani wakifurahia pesa za wanafunzi na kupita kujivunia kuwa wao maraisi....tucta huwa hawakai kimya linapokuja swala la mishahara je,hao nao hawatangulizi uzalendo!? Wahadhiri chuo kikuu cha Dar es salaam wakati fulani walitishia kugoma wakidai haki,je hao nao hawakuwa wazalendo....UDOM wahadhiri walitishia kugoma je hao hawakuwa wazalendo?!..
Uzalendo kwako nini?
Hapa tunaongelea ukimya wa Tahliso na viongozi wa wanafunzi vyuo vikuu......nakuahidi nitaengeneer mapinduzi haya na nyinyi nyote mtapigwa chini...

Tunataka viongozi watakaoweza fanya maamuzi magumu......

Mkuki kwa nguruwe eeh!
Labda nikukumbushe kiongozi wangu.....mimi sina siku nying hapa JF, nimejiunga juzijuzi tu ...yaani 2008...... toka wakati huo mpaka leo sijawahi kumuita mtu awaye yote mjinga ama neno linalofanana na hilo!
Mungu wangu ninayemwamini amenikataza kutukana, bali nitumie busara kuwatendea wema wengine.....tazama mkuu, unaposema yaliyoujaza moyo wako siyo yaliyoujaza wangu..... wewe ulinijibu kuwa NAFIKIRI UJINGA, japo ndipo fikra zangu zilipogota.....KUKIRI UJINGA. kutokana na maandishi yako ya awali kiongozi wa kuwatoa viongozi nakwambia hivii hutofanikiwa....
 
"hatuhitaji wengi kuleta mapinduzi haya na kupigania haki hii wapo watakaowakatisha tamaa,wapo watakaodhiaki,tukana na kujibu ovyo wakiwaambia hamwezi fanikiwa ninyi wapuuzeni endeleeni na ukombozi ili badae nae akili ninyi mlikuwa mkifanya jambo kubwa kwa faida ya wengi"....maneno haya yalipata kusemwa na jamaa Ndunguru wakati wa kupigania kupanda kwa 5000 hadi 7500!!!
 
Unapolazimisha step two kabla ya step one hapo ndipo ninaposhangaa...... je nani kawaambia pesa ya field hakuna? Je vidonda vya uchaguzi uliopita haujapona tu? Unaposhindwa kwenye chaguzi ungana na aliyekushinda kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, kuendeleza vijiharakati visivyo na procedure si njia muafaka.....
Tuone kwamba psa za field hakuna, tuone kwamba jitihada kadhaa zimefanyika na hakuna mafanikio....hapo hata jamii itatuelewa, sasa hakuna kilichofanyika sisi tukurupuke tu ....halafu sisi ndo wasomi, wapanga mikakati wa kesho kwenye jamii......:sleepy:
 
Kama zipo mbona watu hawaingiziwi?? Unajua kuna watu washawahi kwenda bodi polisi wakajaa kuzuia??.....nyie lazima kupiga chini tu na kumbuka cjawahi kutaka kugombea vyuo vikuu uongozi wowote nipo hapa kwasababu ya kupigania haki za watu.
 
Wamewasaliti pakubwa sana. Poleni sana.
 
Cha kushangaza hawa tahliso hutoa matamko kuhusu mamabo ya siasa kama kuunga mkono mgombea fulan ila linapokuja swala la wanafunzi kama hili wako kimya
 
Cha kushangaza hawa tahliso hutoa matamko kuhusu mambo ya siasa kama kuunga mkono mgombea fulan ila linapokuja swala la wanafunzi kama hili wako kimya sasa hapo na wa kuwasemea wanafunzi kama wapo kimya
 
Kwanza wewe unaonekana huna hata elements za uana harakati. Katafute wanaharakati wakuambie aharakati zinafanywaje.

Pili unaonekana unasoma vyuo vya uswahilini kama Datastar au Global training.

Udsm, Udom, Saut, Ardhi haina watu kwama wewe.

mbona umeandika ujinga tu hapa !!!!!wewe umefanya nini cha maana agrrrrr!!!!
 
Mmmh.m nlshapata zangu chuon kwetu.sna tatzo na heslb lakn huko UD ha ha ha haaa ni sheeeeda
 
Kantangaze huyo bwana mkubwa anadhani ni vyuo vyote, tena anatumia wrong weapon to attack wrong enemy!! Jibu nililompa hatafanikiwa.... atafute njia mbadala!
 
Back
Top Bottom