Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,438
- 826
Mmesahau mnavyotumiwa vibaya na watumia hovyo pesa ya nchi hii? Hayo ni manyunyu tu, subirini mvua za kutoka na degree zisizo na kazi! Mnapumbazwa na vitu vidogo, hata hamwezi kujadili mambo makubwa ya nchi yenu? Tafuteni historia za viongozi walioko madarakani sasa walipokuwa shuleni zilikuwaje mkajifunze.