Kisoda2
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 2,475
- 745
Afisa usalama wa wilaya ya Geita ametajwa kuchukuwa fomu za kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM. Ina maana ni mwanachama wa CCM. Sijui ni utawala gani huu lakini nasubiri nione atakapokuwa ameshinda kuwa mgombea, upinzani utachukuwa hatua gani. Pia akishindwa nitataka kuona kama ataendelea na kazi yake.
Chiligati kaangushwa na jamaa TAKUKURU hapo ndo utakoma ubishi!