Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nia ya MKK naona ni kusafisha Mkuchika...na pia anakiuka azimio ya jukwaa la wahariri kutokuandika habari za mkuchika...Wakili Mabere Marando anawakilisha Gazeti la Mwanahalisi na pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Bw. Saed Kubenea. Je, sasa wana mpango gani baada ya kujikuta wanafungiwa kuchapisha gazeti hilo kwa muda wa miezi mitatu?
Aliyefungia gazeti hilo ni Waziri wa Habari, utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika. Je alifanya kosa kulifungia gazeti hilo? NI kwanini basi hakuyafungia magazeti mengine ambayo yaliandika habari zinazoshabihiana na zile zilizosababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa.
Wakati huo huo Kijarida cha "Cheche" nacho kiko mitaani; What a wednesday Eh?
Kupata majibu ya yote hayo sikiliza kidokezo hiki:
[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/maberemkuchikaintro.MP3[/media]
Wakili Mabere Marando anawakilisha Gazeti la Mwanahalisi na pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Bw. Saed Kubenea. Je, sasa wana mpango gani baada ya kujikuta wanafungiwa kuchapisha gazeti hilo kwa muda wa miezi mitatu?

nia ya MKK naona ni kusafisha Mkuchika...na pia anakiuka azimio ya jukwaa la wahariri kutokuandika habari za mkuchika...
Wakili Mabere Marando anawakilisha Gazeti la Mwanahalisi na pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Bw. Saed Kubenea. Je, sasa wana mpango gani baada ya kujikuta wanafungiwa kuchapisha gazeti hilo kwa muda wa miezi mitatu?
Aliyefungia gazeti hilo ni Waziri wa Habari, utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika. Je alifanya kosa kulifungia gazeti hilo? NI kwanini basi hakuyafungia magazeti mengine ambayo yaliandika habari zinazoshabihiana na zile zilizosababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa.
Wakati huo huo Kijarida cha "Cheche" nacho kiko mitaani; What a wednesday Eh?
Kupata majibu ya yote hayo sikiliza kidokezo hiki:
[media]http://www.klhnews.com/images/podcasts/maberemkuchikaintro.MP3[/media]
hahahahahahahaha....
Kula tano Mkuu, nimesikiliza mahojiano. Hivi mawaziri wa namna hii tunawapata wapi? Waziri hawezi kujibu hata maswali rahisi naman hiyo? Duh, kaazi kweli kweli? Where does jk get his cabinet ministers, nisaidieni jamani.. Huwa anawachagua kwa vigezo vipi?
Ni Mawaziri wetu hawa na ni sisi tumewachagua kuwa wabunge. We have to deal with what we got..
Mabiti.. umesikiliza ukiwa Bongo au nje ya nchi... ningependa kujua usikivu ukoje nyumbani na umetumia dial up, dsl au internet capability gani?