William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Mkuu Murangira,
Heshima mbele ninakusubiri ndugu yangu tukate ishu, mkuu!
Heshima mbele ninakusubiri ndugu yangu tukate ishu, mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
katika hiii forum, ninafahamika kwa kukata ishus kiroho mbaya na kumkoma nyani mchana kweupe mpaka giladi, na kusimamia hoja, na pia kutetea haki za wanyonge, nina marafiki wengi sana in the real life kwenye hii forum, na wengine through PM, na wengine through e-mail, Mwafrika Wa Kike ni my "former friend" lakini "turned enemy" recently kutokana na kutofautiana kiitikadi, lakini ninamuheshimu tena sana kwa a bold stand on any ishus za kisiasa, and I wish wangekuwepo wengine kama yeye wengi zaidi, otherwise sina ugomvi naye huwa ninasema mara moja halafu ninasonga mbele, ninasahau ya jana na kujali ya leo,
Ahsante Mkuu, tuendeelee kukata ishu!
Mushobozi
Senior Member
-----------------------------------------------------------------
fild marchall kweli unaipenda sisiem.
wewe ni kati ya wale vijana wa sisiem ambao kila kukicha wanaongea pumba tupu?
mbona hauko systematic katika argument zako?
poleni sana.
1.
PHP:However, Malecela ni mzee mwenye umri wa miaka 72, unless wewe kwenu hakuna wazee, maana wangekuwepo usingekuwa na tatizo la kuelewa kuwa wazee huwa hawaongezeki uwezo wa kisiasa wakifikia umri huo, ila huwa wanaongezeka busara zaidi kwenye any professional waliko,
Habari mukulu,
a)Ningeomba kujua maana ya busara ni nini? Tapeli au jambazi akianza kazi yake hiyo tangu utotoni akifikisha Miaka 72, atakuwa na busara ya kujua mbinu bora za kuiba au atakuwa na busara wa kujua kuwa kazi sio nzuri?
b)Je kuna tofauti ya kuwa na busara na kuitumia? Kama unabusa na huitumii kuna haja ya kuitwa kuwa ni mtu mwenye busara? Kama jibu ni ndiyo,je haimaniishi kuitumia busara hiyo negatively ni kuwa unafavour your own interest?
Mie nilidhani busara ya akina Malecela ingeweza kutumika katika kukirekekisha chama na sio kufuata mikumbo?

ninavyoelewa, busara haitokani na umri au mvi kichwani. ni kipaji mtu anazaliwa nacho. unaweza kuwa mzee lakini busara hamna, ila mtu mwenye mdogo kiumri akawa nazo.
pia busara haijali kisomo. bwana mwenye udaktari anaweza akakosa busara kulinganisha na mwenye shahada moja au chini yake.
ila sijajibu swali la busara ni nini/ naomba nisaidiwe.
Habari mukulu,
a)Ningeomba kujua maana ya busara ni nini? Tapeli au jambazi akianza kazi yake hiyo tangu utotoni akifikisha Miaka 72, atakuwa na busara ya kujua mbinu bora za kuiba au atakuwa na busara wa kujua kuwa kazi sio nzuri?
b)Je kuna tofauti ya kuwa na busara na kuitumia? Kama unabusa na huitumii kuna haja ya kuitwa kuwa ni mtu mwenye busara? Kama jibu ni ndiyo,je haimaniishi kuitumia busara hiyo negatively ni kuwa unafavour your own interest?
Mie nilidhani busara ya akina Malecela ingeweza kutumika katika kukirekekisha chama na sio kufuata mikumbo?
Mushobozi
Senior Member
-----------------------------------------------------------------
kama ni pumba elezea ni ipi niliyoiongea. ila wale vijana wa ccm ni mara nyingi wamefanya vile hata wanachikitetea hawajui,
utasikia hoo! mkataba wa buzwagi hauna matatizo.baadaye inagundulika unayo,
mara hoo...mgomo chuo kikuu sio halali, baadaye vyuo hivyo na serikali ya sisiem inakubali hoja yao kwa kutimiza masharti,
tatu angalia tunachokiongelea na hoja unazozijenga, hamna kipya bali tu kunakili yaliyoisha semwa. si o pumba hizi?
nisingekuwa ninakuelewa kupitia makala zako hapa forum, ningedout uwezo wako, ila kwa muda mrefu ninakubaliana na wale watakaosema unafanya makusudi ili kuvuruga hoja zisijadiliwe vizuri.
naomba kuwasilisha hoja.
Can Marando be truested? Huyu jamaa mission zake ni wazi kabisa, ni ofisa usalama wa taifa ambaye huwa anatumiwa na CCM kurekebisha mambo yao. Siquestion uwezo wake wa kazi ila naQ intetion yake. Just opinion
Mlalahoi
JF Senior Expert Member
-----------------------------------------------------------------
Ok,suppose Marando haaminiki,what about Tambwe,what about Akwilombe?What about WASSIRA,What about NSANZUGWAKO,What about Walid Kaburu?So many names,so little time and space.In fact,at least tunaweza kumwamini Marando kwa vile he's got everything to lose and nothing to gain in the case.Lakini hao political prostitutes sio tu hawapaswi kuaminika lakini pia ni mzigo kwangu na kwako coz wanaendelea kutafuna fedha za walalahoi kwa kisingizio cha "kuwaumbua wapinzani."
Mkuu Heshima mbele, maneno yako ni mazito na ni kweli tupu, But, hawa juu ni reflection tu ya character zetu sisi wananchi wa bongo, au?
Wakili Mabere Marando anawakilisha Gazeti la Mwanahalisi na pia Mkurugenzi wa Hali Halisi Bw. Saed Kubenea. Je, sasa wana mpango gani baada ya kujikuta wanafungiwa kuchapisha gazeti hilo kwa muda wa miezi mitatu?
Aliyefungia gazeti hilo ni Waziri wa Habari, utamaduni na Michezo Mhe. George Mkuchika. Je alifanya kosa kulifungia gazeti hilo? NI kwanini basi hakuyafungia magazeti mengine ambayo yaliandika habari zinazoshabihiana na zile zilizosababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa.
Wakati huo huo Kijarida cha "Cheche" nacho kiko mitaani; What a wednesday Eh?
Kupata majibu ya yote hayo sikiliza kidokezo hiki:
http://www.klhnews.com/images/podcasts/maberemkuchikaintro.MP3
Hiyo adhabu yake kwani imeanza lini...? Jana ama leo? au itaanza wiki ijayo?Lakini si tumeambiwa habari za Mkuchika zisiripotiwe kwa muda wa siku 90?