Marasta wana siri gani?

Marasta wana siri gani?

Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Chuga na Zanzibar wanaliwa ndogo kama kawa
 
Mara zote nasimamaga kwenye ukweli.

Rastaman wako piece ila pia wanapenda kampani sana na wazungu mapenzi ya kampani ambayo sisi tunaita utoto wao ndio wanayaoenda na Rastaman Ana sifa hizo mtu ambae sio mchoyo wa kampani.

Pia identity yao inajulikana Duniani ni mtu wa namna gani kuliko mimi tu mzungu nomekutananae Posta hawezi nijua mimi nani hasa inakuwa ngumu kumechi.
 
Peace & Love elewa Neno love
 
Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Punguza wivu...😂
 
Sure? Does he smoke Kaya from Bob Marley? Ask him
Hawezi sema... ukizingatia bange ktk nchi ni marufuku.. pia tender zake na serikali zitakufa.

Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
There was a Buffalo Soldier
In the heart of America
Stolen from Africa, brought to America
Fighting on arrival, fighting for survival
I mean it, when I analyze the stench
To me, it makes a lot of sense
How the dreadlock Rasta was the Buffalo Soldier
And he was taken from Africa, brought to America
Fighting on arrival, fighting for survival
Said he was a Buffalo Soldier, dreadlock Rasta
Buffalo Soldier, in the heart of America
 
FB_IMG_17179989438221023.jpg
 
Okay sawa Mkuu hapo nimekuelewa vizuri so unataka kusema Siri ya wao kupendwa na Warembo ni nini dreadlocks au ni rasta au ni vyote kwa pamoja? Usisahau kuna rasta wana vipara hawafugi dreadlocks ni bonge la dongo
 
(Wake up and) turn I loose
(Wake up and) turn I loose
(Wake up and) turn I loose
For the rain is falling

Got to have kaya now
Got to have kaya now
Got to have kaya now
For the rain is falling

I feel so high, I even touch the sky
Above the falling rain
I feel so good in my neighbourhood, so
Here I come again

Got to have kaya now
Got to have kaya now
Got to have kaya now

For the rain is falling
Feelin' irie I
Feelin' irie I
Feelin' irie I
'Cause I have some kaya now

I feel so high, I even touch the sky
Above the falling rain
I feel so good in my neighbourhood, so
Here I come again

Got to have kaya now
Got to have kaya now
Got to have kaya now
For the rain is rain is falling

Kaya now (kaya, kaya) huh
 
Okay sawa Mkuu hapo nimekuelewa vizuri so unataka kusema Siri ya wao kupendwa na Warembo ni nini dreadlocks au ni rasta au ni vyote kwa pamoja? Usisahau kuna rasta wana vipara hawafugi dreadlocks ni bonge la dongo
Binafs siamin kama wanapendwa na WAREMBO bali watu walio desperate na Maisha hasa ya mapenzi.

Hao jamaa sehem wanazokaa ukifatilia kwa Tanzania wanajiweka Beach.. ndio maana kuna mstari mwembamba kati ya Hao watu na ma BEACH BOY. sasa wale wanaucheshi mwingi.. wana story nyingi na wengi silaha yao kuijua lugha hasa za kigeni kama Kiitaliano, kifaransa etc.. hapo ndipo wazungu wanaamua wamgande huyo mwamba maana wanaelewana. Ndio mwanzo sasa wa mahusiano kukua zaidi.. hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom