Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Jumuiya yako na nani???Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litameta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litameta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
DuhhJumuiya yako na nani???
Acha siasa za vijiweni na kusujudu majina ya watu mkuuNinawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litaleta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Haujui kuwa Tuna project yetu ya Refi ery pia ?
baina ya sisi Unoc, Tpdc Na Vitol Bahrain au unajitoa ufahamu, au haupo well informed?
Au ndo hivyo baasi tena
Kikwazo cha refinery ya Dangote kujengwa Tanga ni Samia kwa sababu ya uroho wake wa kutaka kupewa hisa! Dangote alimstukia na hivyo kuamua kujenga Lamu bila kumshirikisha Museveni ambaye tayari alikwisha amua kujenga refinery ndogo Hoima kwa ajili ya mahitaji ya Uganda.Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litaleta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Dangote ana uzoefu wa kutosha kuhusu ubabaishaji wa Tanzania kwenye uwekezaji. Mfano halisi ni mizengwe anayokutana nayo kwenye kiwanda cha Cement Mtwar. Sio huo mradi tu, kila siku tuko kwenye porojo za kuwa tuko pazuri kwenye mradi wa LNG huko Lindi. Katika mazingira hayo utasema tuko serious? Sisi tuko serous kwenye wizi wa kura na kubambikia wapinzani kesi. Dangote ameenda kwenye nchi iliyo serious na uwekezaji.Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litaleta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Bei ya mafuta haitegemei uwepo wa refinery katika nchi bali soko la dunia na ndiyo sababu hata Uarabuni bei iko juu.Wacha wauchukue huo mradi.
Masharti ya Dangote ni ya kibeberu.
📌Fatilia bei ya mafuta Naijeria ndo utaelewa Kenya kimemlamba.
Huu mradi ni utapeli wa mchana kweupe. Mradi serous ni huo wa Dangote hapo Kenya maana umeshaanza. Huu wa kwenu unaanza lini? Ule wa LNG wa miaka na miaka ni story tupu.Thamani na Ukubwa wa Mradi
• Mradi wetu: Mradi wa Tanga Regional Energy Hub baina ya TPDC, UNOC, na Vitol una thamani ya takribani Dola bilioni 20 (zaidi ya Shilingi trilioni 56).
• Mradi wa Dangote: Mradi wake wa kule Lamu, Kenya unakadiriwa kugharimu kati ya Dola bilioni 16 hadi bilioni 17. Kiuchumi na kiundombinu, Tanga inakwenda kuwa mradi mkubwa zaidi wa nishati jumuishi (integrated energy project) katika kanda hii.
Masharti ya DANGOTE yanainyima nchi fursa ya kuwa na soko huria la mafuta.Bei ya mafuta haitegemei uwepo wa refinery katika nchi bali soko la dunia na ndiyo sababu hata Uarabuni bei iko juu.
Unaota ndoto za mchana!Haujui kuwa Tuna project yetu ya Refi ery pia ?
baina ya sisi Unoc, Tpdc Na Vitol Bahrain au unajitoa ufahamu, au haupo well informed?
Au ndo hivyo baasi tena
Endelea kuota ndoto hadi kaburini!Thamani na Ukubwa wa Mradi
• Mradi wetu: Mradi wa Tanga Regional Energy Hub baina ya TPDC, UNOC, na Vitol una thamani ya takribani Dola bilioni 20 (zaidi ya Shilingi trilioni 56).
• Mradi wa Dangote: Mradi wake wa kule Lamu, Kenya unakadiriwa kugharimu kati ya Dola bilioni 16 hadi bilioni 17. Kiuchumi na kiundombinu, Tanga inakwenda kuwa mradi mkubwa zaidi wa nishati jumuishi (integrated energy project) katika kanda hii.
Sizitaki mbichi hizi. Kama ana hayo masharti alikubaliwa vipi kujenga kiwanda cha cement hapa nchini?Wacha wauchukue huo mradi.