Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini.

Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause dramatic outbreaks with high fatality.

Kwa lugha rahisi Marburg ni ya kufanyiwa kazi mapema zaidi. Tuko pabaya, nawasihi kusiwe na siasa kwenye jambo hili.

Hii ni Ebola iliyochangamka, tutumie lugha rahisi kuwaeleza wananchi, hawa ndio wahusika, tutoe matangazo kila siku kila mahali. Sio kwa nia ya kuzusha taharuki ila kwa lengo la kuzuia.

Ebola ipo, inaua.
 
Back
Top Bottom