Marc Adre Terstergen goal keeper atakayesumbua sana duniani miaka ijayo

Pogba kajaje xaxa?
 
Mbona Claudio Bravo alikuwa anamchomesha mahindi huyu dogo ?
 
Makipa wote mliowataja ni wazuri sana. Tatizo wanakutana na wafungaji wazuri pia. Tukisifia makipa tusifie na wafungaji pia
 
Mbona Claudio Bravo alikuwa anamchomesha mahindi huyu dogo ?
Dogo alikuwa bado hajapewa nafasi aonyeshe uwezo wake.

Unaona baada ya Bravo kuondoka dogo akachukua mamba mazima hadi Leo.
 
Uzuri wa goalkeeper inategemea na timu anayocheza uyo jamaa ni mzur lakini timu anayocheza inamfanya aonekane mzuri zaidi. Ila kiuwezo de gea anaonekana yuko vizur zaidi ila kwa kuwa timu anayochezea inaruhusu kushambuliwa mda wote kwaiyo anaelemew na ata angekuw kipa wa kiwango gani kama timu inaruhusu kushambuliw lazima kipa utaonekana aupo vizur ILA KWA SAVE ANAZOOKOA DE GEA NA ESTEGEN degea ndo anayoibea timu yake isifungwe mabao mengi
 
Uzuri wa goalkeeper inategemea na timu anayocheza uyo jamaa ni mzur lakini timu anayocheza inamfanya aonekane mzuri zaidi. Ila kiuwezo de gea anaonekana yuko vizur zaidi ila kwa kuwa timu anayochezea inaruhusu kushambuliwa mda wote kwaiyo anaelemew na ata angekuw kipa wa kiwango gani kama timu inaruhusu kushambuliw lazima kipa utaonekana aupo vizur ILA KWA SAVE ANAZOOKOA DE GEA NA ESTEGEN degea ndo anayoibea timu yake isifungwe mabao mengi b
 
Ila complete goal keeper ni terstegen maana ana offer vitu vingi mno kuliko degea
 
Shabiki wa liverLive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…