Habari za muda huu wanasports wenzangu?
Kipa hapa mbele yenu kutoa views zangu kuhusu huyu goal keeper number 1 wa Barca bwana marca Andre terstegen kwa umahiri anaouonyesha sasa ni wazi kabisa atasubua sana kwa magoal keeper wenzake kufikia uwezo wake
Kwa msio mfahamu picha hiyo hapo
View attachment 724047
Huyo ndiyo mkombozi wa sasa wa team ya ujerumani toka kuumia kwa mkongwe NEUR
anasifika kwa umahili wake wa kupiga passes kutulia katika eneo lake na kuokoa zile one against one chances
Yangu ni hayo tu wakuu