Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,976
- Thread starter
- #21
Kwa muono wako Kati ya Lippi na babu Ferguson nani alikuwa the best Manager??Fegason aliwahi kukiri kua amejifunza mengi sana kwa Lippi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa muono wako Kati ya Lippi na babu Ferguson nani alikuwa the best Manager??Fegason aliwahi kukiri kua amejifunza mengi sana kwa Lippi
Kwa muono wako Kati ya Lippi na babu Ferguson nani alikuwa the best Manager??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupingi, unachoongelea mie ndio nisemacho!!
Individual skills ipo pale kwa maana kadhaa, moja ni kutopoteza mpira kizembe, pili kufanya kazi ya kocha kuwa nyepesi, ana simplify shughuli ya kocha! Iwe goalkeeping,kuzuia kuchezesha timu ama kufunga.
Leta kikosi chochote cha lippi tulitizame uzuri wa wachezaji wake kama alikuwa na kiwango cha kina macheda.
Sina hakika na ukisemacho inategemea na wewe unavyowachagua wachezaji wa kiwango cha dunia.
Kwangu giggs, schooles, cr7, rud va, van de sar, schmiechel, patrice evra, rooney, cantona, beckham walikuwa ni wachezaji wa viwango vya dunia.
sikupingi mkuu, ila makocha wengi sana huwa wanategemea kupitia individual za wachezaji ili kujipungizia kuumiza kichwa Zaidi. haikuwa hivo kwa lipi, kweli alifundisha wachezaji wakubwa lakini hakuwa akiwategemea mno, na ndio mana hakuwa akiwapa hata special treatment Hata Zidane alikua akipangiwa majukumu ya kuzuia na position maalum ya kucheza hali yakua france alikua akisimama tu eneo analotaka uwanjani kusubiri kupewa mipira afanye mavituz.
Mkuu kama kweli uliishi kwenye hizo zama utakugundua kuwa hao wakuwa wachezaji wakiwango cha juu.
hivi Beckam alikua sawa na Figo? ZIdane? Rivaldo? Nedved? Rui Costa? Kaka? Ronaldinho? Del Piero? Totti?
Van de sar alicheza man utd akiwa veterani na hakuwahi kuwa na uwezo wakulinganishwa na Buffon, Toldo, Chilavert, Kahn, Peruzzi, Kopke, Canizares, Pagliuca, hao ndio walikua makipa bora wa miaka hiyo
Cantona unaweza mlinganisha na Romario? Baggio? Stochkov? Hagi?
Kiufupi wachezaji wengi wa Man UTD waendelee kubaki kumshukuru Fergi ndio aliewatengenezea mazingira ya mafanikio bila hivo wengi wao ni average players tu.
Sisemi hawakua wachezaji wazuri, kwa EPL standard ya wakati huo walikua wazuri, Ila kwa World & European standard walikua nyuma sana mkuu.
Na ndio mana ushindi wa Man UTD wa Champion League 99 unaonekanwa ni very incredible achievement kutokana kua walizifunga timu zilizokua kubwa na zenye wachezaji wakubwa Zaidi ya wao. kiufupi waliover achieve their standard
Beckham unamuweka na totti,del piero, zidane,nedved,rui costa mbona unamuonea yeye alikuwa winga! Anyway figo kacheza nae pale madrid kuna nini tena! Alizidiwa kidogo na figo lakini walikuwa class moja.
Van de sar ni level ya kina kahn na zaidi ya kina Chilavert! Acha kumchukulia poa poa van de sar mzee, jaribu kuangalia kile alichokifanya ama kutwaa katika soka.
Cantona si romario, si baggio ila cantona alikuwa wa kiwango cha dunia.
Ushindi wa man u 99 unaimbwa saana sababu ya ile comeback ya dk za majeruhi na pia ni kwa sababu ni kitu kilichofanywa na timu ya uingereza!
Timu ngapi zilikuwa na average player zikatwaa makombe na hazikuimbwa kama man u ya 99.
Mie ARSENAL damu, ila kuniambia manchester ile ilikuwa na wachezaji wa kawaida kwa kiwango cha dunia napinga mpaka kesho kutwa mzee.
mjadala unaanza kuwa mzito pale unapomlinganisha Beckam na Figo kiuwezo. mkuu uliwahi mtizama Figo? Beckam alshia kuchezesha midfield ya kuzuia alipofika Real huku Figo akila winga.
hao akina Zidane, totti rui costa wanakuwa sawa kuweza kulinganishwa nae sababu kama wao yeye ndie alikua ndio tegemeo la mashambulizi ya timu yake. kwahiyo walikua wanafanya kazi moja hata kama position ni tofauti
Van de sar kabla kwenda Man UTD alikua Fulham anateseka mkuu, alishapotea kabisa kwenye Ramani ya Dunia.
Wachezaji wanaocheza PL wanakua overacted sana mkuu kutokana na nguvu ya vyombo vyao na wengi wetu kuwa ndio tumelewa na hiyo ligi, ila sio kweli kama viwango vinakua vya juu, hata Fabrigus tulikua tukiamni ni Zaidi ya Xavi na Iniesta kipindi yupo arsenal, lakini uhalisia labde awe mbeba viatu wao.
Man Utd kuizifunga Juventus na Inter Milan kipindi kile ilikua ni jambo kubwa sana mkuu kama ulikua ukifuatilia kwa karibu football kipindi kile.
Ushindi wa Champion league 99, utabakia kuwa ndio mafanikio bora kabisa kwa Alex Fergason
Ukitaka kukinganisha skills sawa figo alikuwa bora zaidi, kila mmoja alikuwa na ubora wake.
Beckham kucheza CM si ajabu sababu alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza nafasi hiyo.
Totti na rui costa sio daraja la zidane, lakini haiwafanyi kuwa sio wachezaji wazuri, ni sawa kwa beckham na figo, figo alikuwa juu lakini bado si sababu ya kumfanya beckham akawa eti mchezaji wa kawaida.
Nguvu ya vyombo vya uingereza siipingi, na ndio maana nikajaribu kuielezea katika ile man u ya 99
Unataka kuniambia fabregas hakuwa daraja la xavi, hata xavi anaujua ubora wa fabregas, shida ni kwamba isingekuwa rahisi kuvunja ile chemistry ambayo tayari aliikuta ya xavi na iniesta, ni dharau kusema fabregas hakuwa chochote mzee! Hao unaowasifu dhidi ya wachezaji wa kiingereza, iniesta anakiri enzi za rijkad waliwekewa video vya scholes wajifunze kwake kwa zaidi ya masaa ma3, mwanae PAOLO andrea alimuita PAOLO kwa heshima ya PAUL scholes
walifanya kazi kubwa, ilikuwa hivyo sababu timu walizozifunga zilikuwa bora zaidi sikatai.

Acha kumlinganisha Fabregas na akina Xavi na Iniesta mkuu, wale hawakuwa watu wakawaida kwa zama hizi.
Totti na Rui Costa ni daraja la Zidane mkuu, tafauti yao ni ndogo sana, yawezekana aliwazidi sana kimafanikio na promo lakini kiuwezo hawakupishana sana.
mkuu scholes alikua akiwarukia tu kibongobongo alikua anarusha buti kwa akina Iniesta katika michezo waliopambana
Jamaa kapuyanga vibaya hadi aibu ni bora umefunga mjadala mkuuKwa haya majibu yako fabregas si lolote, zidane sawa na rui costa na totti, kisha scholes si lolote si chochote[emoji23][emoji13][emoji1787]
Mie naona umeshinda wewe huu mjadala tuufungie hapa mufti.
Kwa haya majibu yako fabregas si lolote, zidane sawa na rui costa na totti, kisha scholes si lolote si chochote[emoji23][emoji13]🤣
Mie naona umeshinda wewe huu mjadala tuufungie hapa mufti.