March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Haya matokeo yabidi kuwa makini nayo. Kwanza ni kura ngapi na kutoka eneo gani. For obvious reasons, Kenyatta anaweza pata kura zaidi jijini Nairobi. Na ikiwa Odinga atapata walau 30% ya kura jijini Nairobi, basi uelekeo ni kuwa Kenyatta anaweza garagazwa kwani ana ushawishi mkubwa Nairobi na Jimbo la kati na si maeneo mengine ya nchi.
 
Wangekua wanataja na province hapa tungejua maana isije kua uhuru anaongoza kwa kua tu maeneo yake yamewai kutoa matokeo
 
Wapiga kura zaidi ya milioni kumi, bado mapema sana kutabiri mshindi.
Binafsi ningependa sana Raila ashinde, but tuwaachie wakenya waamue
 
Kila la heri Uhuru Kinyata!! Na yule mama wa ICC alikuwa Tz 2nd March, 20133!! Ikulu kabisaaaaaa!!! Na wewe ni mtu wa Ikulu yetu kwa sasa!!! Kuna any connection!!!? No wonder!! Kesi itaisha!!
 
mambo bado sana 'kinyata' asianze kufungua champagne kusherehekea.
 
kwa matokeo ya awali Uhuru Kenyatta 57% na Raila 38% bado wanaendelea kuupdates kura kutoka upcountry
 
Huwa nakaa saa nyingine nakosa maana ya UISLAMU hasa inapofika watu wanakufa ovyo eti katika jina la dini hiyo na ukombozi kutoka serikali ya MAKAFIRI... Mungu yupi anaependa kuuana hivi?

Naona Kafiri unachanganya madesa ! Huko wanapambana na makafiri ya kikuyu, yamechukuwa ardhi yote !
 
Matokeo ya uchaguzi wa Tanzania unapoanza kutangazwa, huwa wanaanza kuonyesha kuongoza kwa upinzani! ngoja mpaka mwisho uone! tunachukua, tunaweka, waa! mshindi ni chama tawala! sasa hapa anaongoza Kenyata ni kweli lakini mwisho atapigwa knock out na Odinga! huyu ndie anatakiwa na nchi za Magaribi na Kenyatta sahauni!
 
[h=5]MATOKEO KAMA YANAVOENDELEA KUTOLEWA:
Baada ya kuhesabiwa kwa asilima nane ya kura zote mpaka sasa, Uhuru Kenyatta anaongoza kwa 57.61% akifuatiwa na Raila Odinga 38.62%. Bado ni mapema endelea kusubiri kuna asilimia 72% ya kura bado hazijahesabiwa.[/h]
 
Uhuru 57% na Odinga 38% source citizen TV

NI WAZI ODINGA NDO ATASHINDA KWAN IZO NI KURA ZA NGOME YA UHURU KWA WAKIKUYU TUSUBILI NYANZA, NAKURU NA MAENEO YA LUO, APO MTAONA KIMBUNGA CHA JALUo ODINGA
 
Update saa 2:05 usiku ( saa za Africa Mashariki)

Uhuru 451,518 - 57.35%
Raila 306,305 - 38.70%

Tiba
 
Saa mbili na nusu naona ndio wataanza kufanya hivyo hivi ni vituo tuu! Lakini uhuru ana hali nzuri!
Wangekua wanataja na province hapa tungejua maana isije kua uhuru anaongoza kwa kua tu maeneo yake yamewai kutoa matokeo
 
Kinyatta?, hakuna mgombea wa urais mwenye jina hilo labda udiwani
 
ImageUploadedByJamiiForums1362417096.181181.jpg uhuru yuko kwenye nafasi nzuri mpaka sasa
 
Walisema maeneo yenye watu wachache ndo yangewahi kutoa matokeo. And this is obvious! Which means anakoongoza Kenyatta ni kwenye watu wachache. Huko kwingine we dont know ataongoza au itakuwa zamu ya mwenzake!
 
Hayo ni matokeo ya awali na ni mapema sana kuanza kubashiri ushindi kwa mgombea yeyote.
Kuna mamilioni ya Wakenya wamejiandikisha kupiga kura. Kuanza kuzungumzia matokeo ya kura 500,000 sidhani kama inatupa picha halisi ya matokeo.
 
Back
Top Bottom