Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Daaaa sasa mbona wanaanza kuharibu uchaguzi!
Kuna habari mbaya kutoka Garissa kwamba kuna mtu ametupa hand grenade kwenye polling station ambako kurazilikuwa zinahesabiwa. Bila shaka hawa ni Al Shabab!!! Hakuna mtu aliyejeruhiwa. Pia kuna taarifa kwamba watu wenye silaha huko Garissa wanavishikiria vituo viwili ambako kura zilikuwa zinahesabiwa.
Tiba