Kuna habari mbaya kutoka Garissa kwamba kuna mtu ametupa hand grenade kwenye polling station ambako kurazilikuwa zinahesabiwa. Bila shaka hawa ni Al Shabab!!! Hakuna mtu aliyejeruhiwa. Pia kuna taarifa kwamba watu wenye silaha huko Garissa wanavishikiria vituo viwili ambako kura zilikuwa zinahesabiwa.
Tiba
Kenyatta - 697,---odinga. - 493,---
Weka na muda basi, yasije yakawa ni ya asubuhi! !
Update saa 5 kamili usiku
Uhuru - 700,365 - 56.06%
Raila - 496,944 - 39.78%
Mudavadi - 31,974 - 2.57%
Ajabu Nairobi County Raila ameongoza kwa kupata asilimia 48 dhidi ya asilimia 47 za Uhuru!!!
Tiba
Hadi sasa Raila anaongoza kwa 48%,akifuatiwa na Uhuru 47%,bado matokeo yanaendelea kutangazwa, CHANZO;THE CITIZEN TV
Odinga anaanza kupanda!! Sasa ngoja watoe zile za kambi ya Odinga uone kibao kitakavyojeuka!! It is too early to predict kuwa Uhuru ni kinara at only 8% of all votes!!!
Uhuru for presidency, ila Chadema walimpa company Odinga sijui itakuwaje akishindwa.
Mkuu Tiba,kwa nini unasema ajabu?kwa kenyatta alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kushinda nairobi?Update saa 5 kamili usiku
Uhuru - 700,365 - 56.06%
Raila - 496,944 - 39.78%
Mudavadi - 31,974 - 2.57%
Ajabu Nairobi County Raila ameongoza kwa kupata asilimia 48 dhidi ya asilimia 47 za Uhuru!!!
Tiba
hawa wa kenya nao hawaeleweki! Kumchagua kenyata ni sawa na wabongo lala waliomchagua jk,watajuta kuzaliwa limtu linakula bangi na linakesi nzito then wanataka kulipa nchi...sisi yetu macho bana...
Mkuu mbona unalazimisha upinzani wa CCM na CHADEMA bila sababu yoyote?Mbona hamweleweki? Raila ni mtawala na ni Waziri mkuu wa Kenya sasa inakuwaje tena uko upande wake badala ya Mama Martha Karua au Paul Muite ambao wao ndio wapinzani! Uhuru na Raila wote wako Serikalini!