Hawajaanza na province yoyote,hayo ni matokeo random from all provinces.
Ingawa kwa kanuni za hesabu hapo Uhuru ameshashinda, kwa sababu kama tangu matokeo yaanze kutoka hakuna hata mara moja Raila amekuwa mbele ya Uhuru basi under natural circumstances hatutegemei hali hiyo kubadilika ghafla.
hii inataka kuwa aibu,hivi zile fuso za chadema zilisharudi?.John Pombe Magufuli mamaaaaaaaaaaaaa? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? Yoyoooooooooo?
Hii ya kwenda Kenya kumkampenia Raila imeishia wapi?
Odinga mpaka kufanya likizo ya kiaina Tanzania baada ya Magufuli kumkingia kifua Nchini Kenya.
hata mimi nimekosa imani, lile gape la kwanza la laki 2 votes lilitokea kwa ghafla sana halaf ndo balance ya kuongezeka kwa votes huku na huku ikaanza,Wakati mpaka sasa Uhuru akiwa anaongoza kwa 55% dhidi ya 40% za Odinga. Tayari chama cha ODM kimesema hakina imani na mfumo wa utangazaji wa matokeo hasa uwasilishwaji wake.
Maumivu ya kichwa huanza taratibu, huyu jamaa ni kigeugeu sasa ndio nn kuanza kuwatia hamasa wafuasi wake? Wakati yeye mwenyewe alisema atakubari matokeo na wakenya ndio wameamua?
Hii ngoma inaweza isiende round II, Uhuru anaweza kuimaliza mapemaaaaaaa.
No way out UHURU anashinda aiseee!!!
Biometric Voters RegisterWhat are BVR kits? Plz help