March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

John Pombe Magufuli mamaaaaaaaaaaaaa? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? Yoyoooooooooo?
Hii ya kwenda Kenya kumkampenia Raila imeishia wapi?
Odinga mpaka kufanya likizo ya kiaina Tanzania baada ya Magufuli kumkingia kifua Nchini Kenya.
 
Ingawa kwa kanuni za hesabu hapo Uhuru ameshashinda, kwa sababu kama tangu matokeo yaanze kutoka hakuna hata mara moja Raila amekuwa mbele ya Uhuru basi under natural circumstances hatutegemei hali hiyo kubadilika ghafla.

kweli kabisa, especialy kama wanahesabu randamly
 
John Pombe Magufuli mamaaaaaaaaaaaaa? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii? Yoyoooooooooo?
Hii ya kwenda Kenya kumkampenia Raila imeishia wapi?
Odinga mpaka kufanya likizo ya kiaina Tanzania baada ya Magufuli kumkingia kifua Nchini Kenya.
hii inataka kuwa aibu,hivi zile fuso za chadema zilisharudi?.

Sasa watu ndo watajua beyond reasonable doubt kwamba kujaza mikutano sio kushinda.
 
6.30am Uhuru (TNA) 1,620,951 votes, Raila (ODM) 1,203,784 Mudavadi (UDF) 85,166 Kenneth (KNC) 17, 033 Karua (NARC Kenya) 10,849
 
Wakati mpaka sasa Uhuru akiwa anaongoza kwa 55% dhidi ya 40% za Odinga. Tayari chama cha ODM kimesema hakina imani na mfumo wa utangazaji wa matokeo hasa uwasilishwaji wake.
Maumivu ya kichwa huanza taratibu, huyu jamaa ni kigeugeu sasa ndio nn kuanza kuwatia hamasa wafuasi wake? Wakati yeye mwenyewe alisema atakubari matokeo na wakenya ndio wameamua?
Hii ngoma inaweza isiende round II, Uhuru anaweza kuimaliza mapemaaaaaaa.
 
Concerns:
-over 50% of BVR kits didnt work
-over 200000 spoilt votes with less than 30% counted
 
Wakati mpaka sasa Uhuru akiwa anaongoza kwa 55% dhidi ya 40% za Odinga. Tayari chama cha ODM kimesema hakina imani na mfumo wa utangazaji wa matokeo hasa uwasilishwaji wake.
Maumivu ya kichwa huanza taratibu, huyu jamaa ni kigeugeu sasa ndio nn kuanza kuwatia hamasa wafuasi wake? Wakati yeye mwenyewe alisema atakubari matokeo na wakenya ndio wameamua?
Hii ngoma inaweza isiende round II, Uhuru anaweza kuimaliza mapemaaaaaaa.
hata mimi nimekosa imani, lile gape la kwanza la laki 2 votes lilitokea kwa ghafla sana halaf ndo balance ya kuongezeka kwa votes huku na huku ikaanza,
 
Ukifuatilia IEBC hiz kura wanazotangaza kuna walakini maana Kenyatta 54% + Odinga 41% + Mudavadi 8% = 103% which is not true, the total percentage should be 100% including other voters Ref.IEBC | Find a Polling Station
 
No way out UHURU anashinda aiseee!!!

Mbona unaandika kwa huzuni. lakini kuna ile technic ya kukimbia na masanduka kama Makongoro Mahanga, inaweza ikasaidia kumuokoa Raila...
 
Ikiwa ni kweli wanachakachua, basi hata kuendelae kuwafuatilia imeniishia
 
Gideon Moi leads in Baringo senate provisional results with 62,760 votes against Bishop Jackson Kosgey's 1,212 votes.
 
Back
Top Bottom