Ukifuatilia IEBC hiz kura wanazotangaza kuna walakini maana Kenyatta 54% + Odinga 41% + Mudavadi 8% = 103% which is not true, the total percentage should be 100% including other voters Ref.IEBC | Find a Polling Station
Kenyatta anashinda Uraisi.
we acha uongo jumlisha hizo % uone unapata ngapi ntakupeleka icc unachochoe vurugu
UHURU KENYATTA
1,833,68754 54 %
RAILA ODINGA
1,393,32841 41 %
MUSALIA MUDAVADI
100,0293 3 %
PETER KENNETH
19,4251 0%
MARTHA WANGARI KARUA
12,5540 0%
JAMES LEGILISHO KIYIAPI
12,0000 0%
MOHAMED ABDUBA DIDA
10,3340 0%
PAUL KIBUGI MUITE
3,5690 0%
hii ni kwa mujibu wa IEBC/Explore Result
we acha uongo jumlisha hizo % uone unapata ngapi ntakupeleka icc unachochoe vurugu
UHURU KENYATTA
1,833,68754 %
RAILA ODINGA
1,393,32841 %
MUSALIA MUDAVADI
100,0293 %
PETER KENNETH
19,4251 %
MARTHA WANGARI KARUA
12,5540 %
JAMES LEGILISHO KIYIAPI
12,0000 %
MOHAMED ABDUBA DIDA
10,3340 %
PAUL KIBUGI MUITE
3,5690 %
Ungesoma vizuri wala usingemalaaumu, ni kwmaba hajatenganisha % hapo we angalia hii 1,833,68754 %Mkuu usipotoshe hizo ni kura na wala sio percentage(%) kama ulivyoonyesha hapo kwenye post yako.Tatizo ya aliyeleta % kakosea kwa Mudavadi kaweka 8% huku ikiwa 3%
Kenyatta 54% Odinga 41% Mudavadi 3% Keneth 1% na 1% imegawanywa kwa waliobaki.
gap la kura laki 5,ni kubwa mno aiseeLakin matokeo mengi ya kambi ya raila bado hayajatoka
Gepu kubwa sana, yaani Raila anaweza kulipunguza hili gap lakini kulipita ni ngumu mno....gap la kura laki 5,ni kubwa mno aisee
Uhuru Kenyatta is taking the lead in the just concluded Kenyan elections. He is currently standing out with 54% compared to Raila Odinga with only 41%, Musalia 3% while others have 0%
hapatatawalika?!!Raila itabidi tu akubali matokea, hapa hakuna kuchakachuliwa wala nini, Wakenya wameamua...Ile ya Kibaki ndo alichakachuliwa vizuri
mbaya zaidi kura zikiongezeka kwake Raila,na kwa Uhuru zaongezeka.Ni kama unamkimbinza mtu ukiongeza mbio na yeye anaongezaGepu kubwa sana, yaani Raila anaweza kulipunguza hili gap lakini kulipita ni ngumu mno....
And what is the percentage of counted votes?
Hapa ndugu zangu kuna moja kati ya mambo mawili hayaepukiki.
1. Dogo (Uhuru) anachukua nchi au
2. Matokeo yatakuwa na mvutani. kwa sababu mpaka sasa timu ya Uhuru ishakuwa excited ile mbaya!!!