March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Kweli siasa mchezo mchafu, kenyattta alikuwa attacked sana personal lakini naona anakaribia kuingia ikuru tofauti ya kura 500,000 si mchezo, hongera zake
 
Hapa ndugu zangu kuna moja kati ya mambo mawili hayaepukiki.
1. Dogo (Uhuru) anachukua nchi au
2. Matokeo yatakuwa na mvutani. kwa sababu mpaka sasa timu ya Uhuru ishakuwa excited ile mbaya!!!
 
Ukifuatilia IEBC hiz kura wanazotangaza kuna walakini maana Kenyatta 54% + Odinga 41% + Mudavadi 8% = 103% which is not true, the total percentage should be 100% including other voters Ref.IEBC | Find a Polling Station

we acha uongo jumlisha hizo % uone unapata ngapi ntakupeleka icc unachochoe vurugu

UHURU KENYATTA
1,833,687 54 %

RAILA ODINGA
1,393,328 41 %

MUSALIA MUDAVADI
100,029 3 %

PETER KENNETH
19,425 0%

MARTHA WANGARI KARUA
12,554 0%

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
12,000 0%

MOHAMED ABDUBA DIDA
10,334 0%

PAUL KIBUGI MUITE
3,569 0%

hii ni kwa mujibu wa IEBC/Explore Result
 
Kenyatta anashinda Uraisi.

Ni kweli anashinda urais na hili lilikuwa wazi kwa mtu aliyefatilia kwa ukaribu compaign zao.Timu ya Odinga haikuwa makini kusoma mchezo wamegundua kipindi filimbi ya mwisho inapigwa ya kumaliza mchezo.

Pole sana Raila haikuwa bahati yako kuwa rais wa Kenya baada ya 2007 ulikosa mkakati wa kukufikisha 2013.
cc.Man
 
we acha uongo jumlisha hizo % uone unapata ngapi ntakupeleka icc unachochoe vurugu

UHURU KENYATTA
1,833,68754 54 %

RAILA ODINGA
1,393,32841 41 %

MUSALIA MUDAVADI
100,0293 3 %

PETER KENNETH
19,4251 0%

MARTHA WANGARI KARUA
12,5540 0%

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
12,0000 0%

MOHAMED ABDUBA DIDA
10,3340 0%

PAUL KIBUGI MUITE
3,5690 0%

hii ni kwa mujibu wa IEBC/Explore Result

Okay kitalolo nadhani tatu (3%) ya Matiba inasomeka kama nane
 
Last edited by a moderator:
kenyata alipoteza kwa kibaki enzi zile za KANU,leo nae Anaingia ikulu.Nimeamini usikate tamaa ni muda tu.
 
we acha uongo jumlisha hizo % uone unapata ngapi ntakupeleka icc unachochoe vurugu

UHURU KENYATTA
1,833,68754 %

RAILA ODINGA
1,393,32841 %

MUSALIA MUDAVADI
100,0293 %

PETER KENNETH
19,4251 %

MARTHA WANGARI KARUA
12,5540 %

JAMES LEGILISHO KIYIAPI
12,0000 %

MOHAMED ABDUBA DIDA
10,3340 %

PAUL KIBUGI MUITE
3,5690 %

Mkuu usipotoshe hizo ni kura na wala sio percentage(%) kama ulivyoonyesha hapo kwenye post yako.Tatizo ya aliyeleta % kakosea kwa Mudavadi kaweka 8% huku ikiwa 3%
Kenyatta 54% Odinga 41% Mudavadi 3% Keneth 1% na 1% imegawanywa kwa waliobaki.
 
Ungesoma vizuri wala usingemalaaumu, ni kwmaba hajatenganisha % hapo we angalia hii 1,833,68754 %
 
Raila itabidi tu akubali matokea, hapa hakuna kuchakachuliwa wala nini, Wakenya wameamua...Ile ya Kibaki ndo alichakachuliwa vizuri
 
Uhuru Kenyatta is taking the lead in the just concluded Kenyan elections. He is currently standing out with 54% compared to Raila Odinga with only 41%, Musalia 3% while others have 0%
 
Uhuru Kenyatta is taking the lead in the just concluded Kenyan elections. He is currently standing out with 54% compared to Raila Odinga with only 41%, Musalia 3% while others have 0%

And what is the percentage of counted votes?
 
Maskini raila odinga - natumai njozi za kuwa rais zimekwisha. Tusubiri 2015 dr slaa nae
 
Gepu kubwa sana, yaani Raila anaweza kulipunguza hili gap lakini kulipita ni ngumu mno....
mbaya zaidi kura zikiongezeka kwake Raila,na kwa Uhuru zaongezeka.Ni kama unamkimbinza mtu ukiongeza mbio na yeye anaongeza
 
Hapa ndugu zangu kuna moja kati ya mambo mawili hayaepukiki.
1. Dogo (Uhuru) anachukua nchi au
2. Matokeo yatakuwa na mvutani. kwa sababu mpaka sasa timu ya Uhuru ishakuwa excited ile mbaya!!!

Ni pigo kwa Chamema.
 
Back
Top Bottom