March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Mkuu usipotoshe hizo ni kura na wala sio percentage(%) kama ulivyoonyesha hapo kwenye post yako.Tatizo ya aliyeleta % kakosea kwa Mudavadi kaweka 8% huku ikiwa 3%
Kenyatta 54% Odinga 41% Mudavadi 3% Keneth 1% na 1% imegawanywa kwa waliobaki.

nimeedit mkuu kwani nilikopi kwenye web ya iebc na nokapest hapa upande wa % ukasogelea kwenye number ya za kura hivyo sijapotosha kitu ukiangalia post yangu tena utaona hatutofautia na wewe kwenye % nilikuwa najaribu kumuhakikishia Ndachuwa kwamba % sio 103 kama alivyokuwa nasema yeye bali 99% kwani hiyo 1% imegawanyika kwa wagombea wengine watatu na hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Lakin matokeo mengi ya kambi ya raila bado hayajatoka

wapi?,matokeo yanatoka sehemu tofauti tofauti,kuna matokeo yalikua yanatoka maeneo ya siaya,kisumu etc ambako kibaki alikua anamzidi uhuru kwa hadi kura 40,000,lakini hayajabadili hali,uhuru anakata mbuga ,vibaya.
Sipati picha hiyo government ya boyz to men,UHURUTO.
 
Elungata umeanza kutumia busaa?
 
Last edited by a moderator:
Palitwalika wakati wa Kibaki itashindika na hili ambapo ni wazi tu kua Wakenya wameamua kumpiga chini huyu Odinga..
Lakini mbona mikutano yake ilikua inajaa watu wengi sana,wamechakachua bana.
 
Spike Lee it is too early to predict the winner, so far only 31% of vote results have been talled.

Kwa hii system ya kutoa matokea rondomly aah ahkuna shaka Gap la Uhuru ni kubwa mazee, Odinga atalipunguza tu sio kulipita kabisa, nasikia ameshaanza kulalama kua wanachakachua
 
Spike Lee it is too early to predict the winner, so far only 31% of vote results have been talled.

Hiyo 31% ni ya waliojiandikisha na kumbuka waliojiandikisha si wote wamepiga kura, kwa hiyo ukichukua percentage ya waliopiga kura si ajabu iko zaidi ya 50 mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…