kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
Mkuu usipotoshe hizo ni kura na wala sio percentage(%) kama ulivyoonyesha hapo kwenye post yako.Tatizo ya aliyeleta % kakosea kwa Mudavadi kaweka 8% huku ikiwa 3%
Kenyatta 54% Odinga 41% Mudavadi 3% Keneth 1% na 1% imegawanywa kwa waliobaki.
nimeedit mkuu kwani nilikopi kwenye web ya iebc na nokapest hapa upande wa % ukasogelea kwenye number ya za kura hivyo sijapotosha kitu ukiangalia post yangu tena utaona hatutofautia na wewe kwenye % nilikuwa najaribu kumuhakikishia Ndachuwa kwamba % sio 103 kama alivyokuwa nasema yeye bali 99% kwani hiyo 1% imegawanyika kwa wagombea wengine watatu na hivyo.
Last edited by a moderator: