March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga
 
Uhuru Kenyatta ana umri wa miaka 51, je kwako bado ni kijana?
 
Atakayeshindwa akubaliane na matokeo bila shida na kuleta maneno ya uchochezi kwani gakuna aliyedai kutokuwa na imani na tume ya uchaguzi.
 
Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
 
Nahisi kwamba my favourite kushinda ndugu Raila Odinga dalili si njema kwake! Nafikiri Uhuru Kenyatta atakuwa Rais wa Nne wa Kenya wakati matokeo yote yatakapokuwa yamekamilika.
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Kwani ikulu wanaenda kukwapua na kutoka spidi...hawaendi kuiba simu mkuu.Ujana wewe ndiyo unaokufaa kwa hiyo shughuli yako
 
Miaka 51 ni mtu kijana kweli, Keneth ndo alikuwa mgombea kijana na haonekani kwenye huu uchaguzi kabisa, mambo ya uzee na ukijana siyo sifa za kuwa kiongozi wa nchi, hata Kikwete tuliambiwa ni kijana!
 
Kura zilizo hesabiwa ni chini ya 26% ya kura zote kwa mtu makini,aliyesoma vizuri hesabu ya darasa la tano na mwenye busara ya kawaida tu si rahisi kusema fulani anaelekea kushinda wakati aanayeongoza ana 54.78% akifuatiwa na mwenye 40.71% katika hizo 26% ya kura zilizo hesabiwa .Pia mi nadhani ni kazi ya Tume ya uchaguzi Kenya kutangaza mshindi.Tuambiane idadi ya kura, kutangaza mshindi kenya tuiachie tume ya uchaguzi Kenya.
 
Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office
The international community should respect the decision of Kenyans.
 
Kura mill 14,zilizohesabiwa mill 4! Ngoma bado mbichi,subir waanze kuhesabu za nyanza ndo utajua nani mshnd,
Mkuu usisahau, hata za Rift valley bado hazijatoka, na huko kuna kura zaidi ya milioni 3.
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Vijana wapi unao waongelea? au ni hawa wasio kuwa na busara, wanao kuwa driven na njaa zao kiasi cha kuiba simu, tena simu ya mchina? Hawa hawa wanaofikiria kwa kutumia tumbo badala ya kutumia kichwa?
 
Uhuru Kenyatta will find it very hard to lead his country if he wins!! Bearing in mind that he has a case to answer in ICC let's keep our fingers crossed and see what he gets out of forcing his way in the Kenyan Top Office

Really? I thought Uhuru is running for public office like any other citizens. It is Kenyans to decide whether they want him or not. ....ohh..nearly forgot....familiar with democracy cliche from our big brother? Probably you are...
 
Back
Top Bottom