March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!


Wamejumlisha bila kuhesabu!
 
Mkuu pia ujue kuna ambao ID zao hazionekani kabisa kwa users (are invisibles)!! Kwa hiyo list ni kubwa zaidi kwani ukihesabu hao walio hapa tu members hawafikii 175!!!)!! Ila ndo leading thread jana na leo!! Kweli siasa si mchezo!! Mimi nasikiliza live Citizen huku nachapa kazi!! Raila ameanza kuzishusha za Uhuru!! Let us wait for the last kitufe!!!
 
Usiitelekeze ile ID ya TUNTEMEKE kiasi hicho....Maliza shule urudi Kibaha kaka.Achana na hii miradi ya simu.Pole

No time to argue with a fool. Tushamjua hata akibadili mwandiko na slogan hatusumbui tukionyesha tunamfatilia anajiona bado ni tishio wakati umaarufu wake ni selo ya Knyama
 
Afrika ni Afrika, maana pamoja na kuweka mfumo mzuri lakini bado akina 'ritz' wanafanya mambo yao
 

Time will prove you wrong!! Angalia kwanza ameshinda majmbo yepi na jumla ya stations ambazo zimeshajumlisha dhidi ya yale ambayo bado!

Ona na jinsi pengo la kura linavyopungua !
 
Mr. Professional...

Wakati mwingine uandike tu kwa Kiswahili utaeleweka...

Si vizuri kuharibu lugha ya watu...

kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk.........ninefurahi sana
 


Wewe unayesikiliza LIVE, maelezo yanaonyesha upepo unaweza kubadilika huko mbele kiasi cha Raila kuja juu?
 
Ndio maana kwenye thread zangu nikawa nasisitiza utulivu mbivu mbichi zitajulikana tu
 

Mkuu Ngongo statement anayozungumzia Moriah hii hapa!
 
Last edited by a moderator:
ODM/ ccm/ cdm vS Jubilee

Hapa inabidi gamba li-R.I.P ili na sisi tujipime ustaarabu wetu, i miss ulinzi wa kura dhidi ya Mangamba.....mara mmemkamata Mwigulu anatoa rushwa, mara Lowasa kaja na track(Hapo vipi-hapo sawa)na sera kasahau Monduli.....mara Nape kakatazwa kuja kene kampeni kisa Mropokaji...........yaani raha sana
 
mm sioni sababu ya kuwasifia wakenya kwamba wamekomaa kisiasa,kujitokeza kwao kwa wingi kupiga kura kumbe ni ukabila ndio umewafanya waitikie mwito kwa kiwango kikubwa,wameacha kuangalia sera za mgombea na kukumbatia ukabila,lini nchi zetu za Africa hasa kusini mwa jangwa la sahara tutafikia mkakati wa kuondokana na umaskini?
TRIBALISM and RELIGIOUS DIFFERENCE ina uhusiano gani na maendeleo ya kiuchumi kwa nchi husika? .....pumbavu kabisa EAST AFRICA yote
 
Wewe unayesikiliza LIVE, maelezo yanaonyesha upepo unaweza kubadilika huko mbele kiasi cha Raila kuja juu?

citizen live 3:10
UHuru 2614446
Raila 2017746

wadadisi wa mambo wanasema kupitia citizen kuwa bado ni ngumu kusema chochote kwa mfumo wa utoaji wa matokeo
 
Umemsahau kikwete

Ukimdharau Rais wako hata wewe umejidharau. Nafasi hiyo kaka ni kubwa mno ambayo ni wachache ndio wataipata. Tatizo wengi mkumbo wa kiitikadi ndio unaowapoteza na kutoona mazuri ya itikadi zingine. Nawaomba tuheshimu mamlaka zilizojuu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…