March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Inategemea unazungumzia ''ujana'' wa nini. Kwa mfano: mtu mwenye miaka 60 kwa u-papa wa roman catholic tunasema ni ''kijana''. Miaka 35 kwenye kandanda tunasema ni ''mzee'', hivyo kwenye nafasi ya urais miaka 51 bado ni ''kijana''.
hakuna ujana wa nini.....kijana ni kijana tu......hayo mengine ni maboresho yako tu.....
 
Mhhh .... napata wasi wasi na uwezo wako .... wewe ndiyo ulitaka upewe ubunge wa kibaha kupitia chadema?

Mnampa umaarufu ambao hana. huyu si kandambili tu mwisho wake chooni? Tujadilini yetu sio viatu jamani bluetooth huyu hana hadhi ya kujadiliwa nawewe kabisa is too low for you to waste your valuable time, wezi na wezi wenzao, vibaka and the like
 
Last edited by a moderator:
Kura mill 14,zilizohesabiwa mill 4! Ngoma bado mbichi,subir waanze kuhesabu za nyanza ndo utajua nani mshnd,

Mil 14 ni idadi ya waliojiandikisha kupiga kura...sio waliopiga kura! Huwezi jua labda wamepiga nusu tu ya hao kama ilivyotokea hapa kwetu. Uhuru anapaki mabegi ahamie Ikulu now, Raila hana chake!
 

Familia yake mwenyewe ilisha mshinda, ndo maana anamiliki vibustan kila wilaya.
 
mtazamo wangu utakuwa na uharisia namuhitaji kenyata ndio chaguo la mungu mungu huchagua vijana watumike.sipendi viongozi wazee.mf.mugabe.satta,slaa,odinga,belskon.shein.museven.odinga

Ngoja tuweke simu zetu vizuri, maana hapa tumeingiliwa na mtu hatari zaidi ya Kitale


c.c Ben Saanane
 

Sasa na wewe DMO umemuona mtu mkubwa? Ukubwa hautoe wapi wakati pesa yote ya wilaya anayo DED! Na ukubwa 'pesa', ndevu uchafu tu!
 
Nawaomba ndugu zangu wa KENYA kukubali matokeo rasmi ya uchaguzi ili kuwepuka machafuko kama yale ya 2007-2008
 
Unjua maeneo yote karibu na Nairobi matokeo tayari..........na ndipo penye watu wengi sana na ni pro UhuRuto....nadhani Raila kapigwa bao tayari......ukabila mbaya sana yaani yule mama ana kura 14,000 tu......hata wanawake wenziye?

Mechi bado bofya kwenye hii site :IEBC | Find a Polling Station halafu tembeza cursor kwenye sehemu tofauti uone jinsi ambavyo pro Kenyata nyingi zimeishaesabiwa bado kwa Raila yaweza kwenda round ya pili

Pia pitia kwenye tab ya Registered Voters within the same site uone jinsi walivyojiandikisha kupiga kura. Kumbuka walojitokeza ni zaidi ya 70% x 14M. = 10M+. Sasa hivi ni kama chini ya 5m reported, hivyo lolote laweza kutokea. NDO MAANA WENYEWE WAKO KIMYA KABISA.
 
discussion ya ujana na uzee itafutieni thread yake, hapa tujadili kilichoko mezani, uchaguzi wa kenya na matokeo yanayotangazwa

Watanzania tunajishusha sana mada haihitaji majungu mara kichaa mmoja kaingiza lake sasa wenye busara wote mawazo yamehamia kwa huyo chizimzoefu wao. Keshapewa jibu linaloeleweka na mtu mmoja i think inatosha tujadiliane yanayohusiana na kichwa cha uzi wetu jamani
 

You didn't get my point at all... I meant despite the general perception hawa wanaonyooshewa vidole tend to win. May be its true ukipata UPM unakuwa cursed kuwa rais hapa Afrika. lets wait and see...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…