Nyinyi mnaoshangaa ukabila kwa sababu ni wageni wa siasa za Kenya. Maeneo pekee ambako hamna ukabila ni Mombasa na huko nako kuna udini instead of ukabila.
Hakuna mtu anayeshinda uchaguzi Kenya bila ukabila kama jinsi Bongo ilivyokuwa haiwezekani kushinda uchaguzi bila rushwa.
16:05 Mr Kenyatta 2,664,462 (53.71%) against Mr Odinga's 2,072,596 (41.78%)......MAY GOD BLESS KENYA, GOD BLESS EAST AFRICA
ningependa kuona Odinga anashinda coz namkubali sana huyu mzee,but natambua pia kuwa ni jukumu la wakenya wenyewe kuamua mustakabali wa nchi yao.so wish u jiranis all the best.always stay on the safe side/amani idumu.
Hivi mkuu Tiba,wewe si uko hapo ,hakuna watu wanaolinda kura hapo?
hakuna ujana wa nini.....kijana ni kijana tu......hayo mengine ni maboresho yako tu.....
hapana.....shimo la bomuUnaishi shimo la gani?
hapana.....shimo la bomu
hadi sasa kura 300,000 laki tatu zimeharibika kutokana na wananchi kutokua na elimu jinsi ya kupiga kura. Hii inaweza ikatia doa matokeo!. mia
kwa hiyo ili urizike, ulitaka wapiga kura wa Kenya wawe wale tu wasio na makabila?
Hapa haswa ndipo ilipofanya Kenyata kuwa na tofauti na Odinga.
He he we mgeni kweli nenda kule jukwaa la utambulisho!hapa sio mahala pake ila anyway karibu sana.Hello! Mi mgeni katika JF. Nimependa mawazo yenu wanajamii. Tushirikiane!
mkuu Consigliere ukabila pembeni kwanza tuangalie sera za candidate mhusika,most voters in East Africa ukiwauliza kwanini unampenda mgombea fulani? atakujibu
1.ni mkristo/muislamu mwezangu
2.ni kabila la kwetu
3.nimetokea tu kumpenda
tunapiga kura kwa mazoea tu,hakika hata mm ningesimama nafasi ya Uhuru Kenyatta ningekuwa rais wa kenya jpokuwa sina sifa yoyote zaidi ya kabila
Nitolee mfano wa mbunge wa Tanzania aliyetekeleza ahadi zake na akarudi bungeni kwa sababu hiyo, na uniambie ni nani na ni ahadi gani hizo.Usiwalaumu voters. Kilichopo katika nchi yetu ni kwamba wapiga kura wana uzoefu wa kuona viongozi hawatekelezi ahadi zao. Kwa hiyo zile sera wanazozihubiri huwa ni sound tu za kuingia madarakani. Hata ukichagua kwa sera haisaidii kitu kwa sababu in the end yatakayofanywa ni mengine.
Ili watu wachague kwa kupima sera ni LAZIMA waamini kuwa sera zinazohubiriwa kwenye majukwaa ndizo zitakazotekelezwa.
Ukitaka kuthibitisha hili anzisha thread ya kuuliza Mnyika ametekeleza vipi ahadi zake? Utashambuliwa na watakaokushambulia watakwambia yale aliyoahidi sio jukumu lake kutekeleza!!!
Ndio maana watu wanachagua kwa preferences za jinsi wanavyojisikia karibu na mgombea either kwa urafiki, ujirani au sababu nyingine.
hapana ila ni ndio maashandio maana.
Huyo Jamaa ni Mjaluo, halafu unampenda, wewe ni Mtanzania kweli?
Usiwalaumu voters. Kilichopo katika nchi yetu ni kwamba wapiga kura wana uzoefu wa kuona viongozi hawatekelezi ahadi zao. Kwa hiyo zile sera wanazozihubiri huwa ni sound tu za kuingia madarakani. Hata ukichagua kwa sera haisaidii kitu kwa sababu in the end yatakayofanywa ni mengine.
Ili watu wachague kwa kupima sera ni LAZIMA waamini kuwa sera zinazohubiriwa kwenye majukwaa ndizo zitakazotekelezwa.
Ukitaka kuthibitisha hili anzisha thread ya kuuliza Mnyika ametekeleza vipi ahadi zake? Utashambuliwa na watakaokushambulia watakwambia yale aliyoahidi sio jukumu lake kutekeleza!!!
Ndio maana watu wanachagua kwa preferences za jinsi wanavyojisikia karibu na mgombea either kwa urafiki, ujirani au sababu nyingine.