teh teh Raila kapiga mbizi kwenye changalawe...analo
teh teh Raila kapiga mbizi kwenye changalawe...analo
Mkuu Gang Chomba, the time is coming itabidi ufute kauli. . .Niko hapa BOMAS of KENYA na matokeo yote unayoyaona is just 40% ya kura zilizopigwa.
Hiyo 42.40% sio sehemu ya kura zilizopigwa bali ni sehemu ya waliojiandikisha, huwezi kujua idadi ya watu waliopiga kura kama hujamaliza kuhesabu, ukitumia assumption ya kwamba 70% ndo ilikuwa turnout kwa hiyo kura zilizohesabiwa ni zaidi ya 50% ya kura zote zilizopigwa.
Tunazungumzia kura za nchi nzima sio kituo kimoja mkuu.Mkuu sijui kama umewahi kushiriki kuhesabu kura. Kama umewahi, basi haukuwa makini kuangalia ni kitu gani kilifanyika. Huwezi kuanza kuhesabu kura kabla ya kujua idadi ya kura zote zilizopigwa kwenye kituo. Hatua ya kwanza kwenye zoezi la kuhesabu kura, ni kujua idadi ya kura zote zilizopigwa bila kujali kama zimeharibika au vinginevyo. Mkiishajua idadi ndio mnakwenda kuhesabu per candidate na vile vile kujua ni ngapi zimeharibika. At the end of the exercise, idadi ya kura alizopata kila mgombea zinajumlishwa ili kuona kama idadi ile inaendana na jumla ya kura zote zilivyopigwa. Kama ulikuwa hujui hii, basi leo umepata nafasi ya kujifunza.
Tiba
Tunazungumzia kura za nchi nzima sio kituo kimoja mkuu.
Tunazungumzia kura za nchi nzima sio kituo kimoja mkuu.
Hii ni kutoka kwa mwenyekiti wa uchaguzi wa kenya baada ya eletronic system kugoma.Sasa MAtokeo yatatangwazwa manual na kila returning officer.
MY take
Mi East Afrika ndivo tulivyo
Hawa IEBC mimi nina soo nao especially when it coms to civil education. Nashangaa kwa nini hawakufanya
elimu jamii in regards to this matter. Kura zilizoharibika ni nyingi mno!