chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 902
...Tatizo kama mashine kuwa hazicharge battery haliwezi kueleweka. Vituo vingine clerks wanaingiza password mashine inasema password not accepted!!!
Hizo ishu nimehoji sana aisee na mpaka sasa sijapata jibu. Yaani kuna mtu 'kasahau' ku-charge hizi mashine on
the night prior to the elections?...Knowing how important that day is! Seriously?...tukubali maelezo gani hapa?
Afu hilo la clerks nalo linatisha. Weledi wa mambo ya mtandao naamini walishafanya mambo hapo.
Truly speaking, hii kitu imekaa vibaya kwao.
Watu tayari wana querries ila hawawezi kuziraise publicly at this moment kwa sababu wanajua likitokea la kutokea maneno yao yanaweza kuwa tiketi ya ICC...
Zimeharibiwa makusudi ili kuhakikisha wanampa "ULAIS" wamtakaye. Kama zimeharibika kihalali basi waziweke hadharani tuthibitishe kwamba kweli zimeharibika maana ni nyingi mno.
Hawa IEBC mimi nina soo nao especially when it comes to civil education. Nashangaa kwa nini hawakufanya
elimu jamii in regards to this matter. Kura zilizoharibika ni nyingi mno!
Si walisema Kenya inaongoza kwa IT Afrika Mashariki na ya Kati na mitandao (network interconnection) ya IT ipo bomba sana kusafirisha 'data' kuliko nchi yoyote Afrika Mashariki, bora wangeomba kupitishia 'data' katika mkongo wa mawasiliano wa taifa NATIONAL FIBER OPTIC CABLE NETWORK (MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO)Kilimanjaro - TEHAMA wa Tanzania mambo haya yasingewakuta.
just in: my man Hugo Chaves is no more
Mkuu, let them do their job. Kura hizo zinawagusa wote, including but not limited to CORD. Basi tuwe na subira. Hii mambo itakwisha kesho.
Tutulize moyo kama alivyo sema Mh Musyoka.
Mkuu,
hii thread ni non-partisan in terms of politics.
Sisi tuna-critic hawa IEBC na jinsi walivyoandaa hizi kura na ukiangalia thread nyengine nime-post hapo
juu, watu walikua washatoa warning about their inability to carry out such an important task kitambo
lakini watu wakapuuza.
Now here we are.
.... We are counting hours if not minutes Mkuu.
.the show is almost over up here....when time come we can pend this for a while and join oldtrafold for the big show...when real madrid will be doing the deed.
Hata kama wakirudia hii kitu lazima ile kwa Raila yani Uhuru ni rais. Marudio yangekuwa na impact kubwa kama wagombea wengine wangekuwa wamevuna kura yani ya kwamba ukichukua jumla za wagombea wengine na ukazichanganya na za Odinga basi zilitakiwa kuwa nyingi zaidi ya ambazo Uhuru kapata.
Lakini sahizi naona hakuna jinsi ya kumzuia Uhuru kuapishwa Rais wa Kenya hata kama wakienda round ya pili.