March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Correction: It's 50%+1. Not 50+1%!!!
Finito.
 
@LOVIMEMBE , kama matokeo yataendelea hivi hivi, bado Uhuru haendi magogoni coz katika total percentage hatafikisha 50%+ 1 , ngoja tuendelee kuangalia kama ataweza kuongeza gap ili ajihakikishie ushindi au ni kusubiria round ya pili tu.
 
Ndio maana KINANA amekwenda huko kuwapa Maujanja ya kuchakachua kama ifanyikavyo huku TZ. Chezea MAGAMBA weye!

Matatizo yaliyoipata Kenya wakati wa huu wa uchaguzi kwa kutumia BIOMETRIC voting system ndio itakuwa sababu kubwa itakayotumiwa na CCM kukataa kutumia tekinolojia hii wakati wa uchaguzi wa 2015; kukataa kwao kutawapa fulsa kwa wao kuendeleza mchezo wao wa kuchakachua kura!!!
 
hizo namba za walio registered na waliopiga kura vipi jamani! au ni mimi nimepata makengeza?

Hapo naona kuna tatizo labda kama kuna watu walikuwa wanaruhusiwa kupiga kura nje ya vituo walikojiandikishia. Ingawaje kwa uelewa wangu, ilikuwa uruhusiwi kupigia kura nje ya kituo ulichojiandikishia. Kulikuwa na mkanganyiko kidogo kwani Mkenya mmoja anayeishi Kampala na alijiandikishia Kampala alijaribu kupiga kura Nairobi akakataliwa kabisa lakini Mzee Kibaki alikwenda kupiga kura tofauti na kituo alichojiandikishia na yeye hakukatazwa. Huyu aliwauliza kama iliwezekana kwa Kibaki, kwa nini isiwezekane kwake? Sikupata nafasi ya kujua mwisho wa hili saga.

Tiba
 
Hata mimi na hisi kitu kama hicho kuwa pengine wale wasimamizi wanaotoka kituo kingine ndizo kura zilizo zidi..
 
Hi DAILY POST,

I saw these 2013 projected election results somewhere and thought that I share.


We are assuming 100% turnout though it may be lower but the ratios still remain. This is the worst case scenario and still UHURU beats RAILA.


Look at the results above
 
Mbona wamesema waliopiga kura ni asilimia 70 ambao ni sawa na millioni 10? Na hapo ukijumlisha total inawiana na idadi ya waliojiandikisha?
 
Masanja , Mkuu , kwanza sioni sababu ya kwenda mahakama kwa sasa , kama hiyo sheria waliitunga wenyewe wakenya , na hawakuona tatizo lolote hadi hapa imegusa maslahi ya baadhi ya watu ,itatumike hivyo hivyo , labda kuibadilisha baada ya shughuli za uchaguzi huu kukamilika.
Pili , logically , wako sahihi , ni lazima kura zilizoharibika ziwe included katika total % , ebu fikiria scenario hii, ikitokea % kubwa ya kura zimeharibika (tuchukilie 40 % ya kura zote zilizopigwa) , je unaona ni halali mshindi kupewa kupewa cheo kwa kutumia 60% tu ya kura halali , yaani mtu anashinda >50% kwa kutumia hako ka portion ka 60% tu ?
BTW: Hata TZ tunahesabu kura zilizoharibika na kuzi jumlisha katika matokeo ya jumla.
 

Umeliona hili. Yupo Jamaa alichora graph ya kura za Uhuru na Raila on same axis-maajabu kura za Raila sikiongezaka kwa kiwango fulani hivo hivo za Uhuru almost like results are synchronized.
 
As per IEBC Press Briefing, Kajiado imempa ushindi Uhuru! Difference ya 7,000 votes.

They are releasing results from 53 Constituents.

Hii italeta a big difference kwenye latest results
 
Diaspora votes:

Uhuru - 951
Raila - 1,024

Kajiado Central:
Raila - 19,955
Uhuru - 14,747
 
Kajiado South:

Raila 17,500,
Uhuru 24,000
 
Mbona tofauti ya kura 7000 haina impact ya kumpa ushindi Uhuru , au unamaanishi nini mkuu Kenyan
As per IEBC Press Briefing, Kajiado imempa ushindi Uhuru! Difference ya 7,000 votes.

They are releasing results from 53 Constituents.

Hii italeta a big difference kwenye latest results
 
Last edited by a moderator:
Mbona tofauti ya kura 7000 haina impact ya kumpa ushindi Uhuru , au unamaanishi nini mkuu Kenyan
As per IEBC Press Briefing, Kajiado imempa ushindi Uhuru! Difference ya 7,000 votes.

They are releasing results from 53 Constituents.

Hii italeta a big difference kwenye latest results
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…