March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Hizi ndizo propaganda za kijinga ambazo zinaweza kuitumbukiza Kenya kwenye machafuko tena. Jaribu kuuepuka ujinga kama huu.

Tiba

KTN inaonyesha matokeo rasmi jinsi yanavotangazwa na iebc baada ya kuhakiki matokeo yalowasilishwa physically na returning officers. Final tally as opposed to provisional tally.
 
Hiyo haiwezi kuwa reliable and credible source ya majumuisho ya kura. Kwa sasahivi tujitahidi kuzingatia kile kinachotolewa na IEBC tu haya mengine yanaweza kusababisha hasira na minyukano na ukizingatia kwamba watu wameshaanza kuchoka kusubiri.
Mwita Maranya una taarifa yoyote kuhusiana na habari hizi hapa chini?
2 People have been arrested in regard to Hacking of IEBC System,2 are still on the Run. Stay cool as we wait for the official results.
Chanzo: CORD EFFECT... - Politics - Wazua - Forum
 
Sasa uo muda ulioutmia kunijibu si ungeniwekeea hapa..

KTN inaonyesha matokeo rasmi jinsi yanavotangazwa na iebc baada ya kuhakiki matokeo yalowasilishwa physically na returning officers. Final tally as opposed to provisional tally.



MTUKANE NA HUYU TUNATAKA WATU MSOLVE ISSUES SIO KUPEWA MAJIBU rahisi tu

"Give a man a fish, and he can eat for a day.
Show him how to fish, and he can eat for a lifetime."
 
Huyu weka mbali na tembo anataka wakenya walete upuuzi wa kimagamba,komaeni jaman huyo msomali asije waharibia nchi...
 
tatizo A free car hawawezi kufanya maamuzi yao binafsi bila kutegemea nchi za magharibi ukute hapo wanampigia Obama kumuuliza wafanyanyaje maana mzee wa ze hegi anachukua nchi sasa kila matokeo yakitoka wanampigia hoo mzee kura zake zinaendelea kupanda tufanyanyaje jamaa anawajibu ebu angalieni kituo kinachofata sasa Obama ukute kachoka sasa hapokei simu yao wamebidi wasubiri kwanza atakapopokea awajibu kama wampe Uhuru nchi au vipi sasa wataala wa mambo wanajadili njia za kuiwekea Kenya vikwazo na kama huyu jamaa atakubali kuhudhuria ze hegi akiwa Raisi. Fatu bensuda naye nasikia kapigiwa simu nyingi anawajibu tu shauri zenu ntajua wenyewe sasa wanaogopa
 
2 People have been arrested in regard to Hacking of IEBC System,2 are still on the Run
Source Please!
 
..
Mkuu hata mimi nilishangaa sana. Huwezi kuona eti kuna constant number difference kati ya Kenyata na Odinga at either 6xxx or 5xxx. Jana tangu asubuhi nilikuwa na-compute tu differences and I was wondering why. Huo engineer anyongwe hadharani kabisa maana anachezea demokrasia za watu. Sasa basi chopa zimeduata matokeo yafanyike mannually ni bora wahesabu siku kumi iwe halali kulika kubaka demokrasia. Long live independent electoral commission of Kenya. Hope things will work better in Tz 2015 havind independent commission in place!! Mwisho wa wizi.
 
Hivi Safaricom haina uhusiano na Vodacom ya Tz?kama ndio basi mchezo wote chini ya RO.
 
kwa hali ilivyo haya maneno yako yanaweza kuwa ndoto za mchana
We subiri
Raila Odinga atangazwe mshindi baaaaasi...hayo mengine maigizo kuonesha kama kuna umakini wa hali ya juu.....
 
Kama nilivyosema tangu awali, katika hatua hii ya sasa sitaki kupoteza muda kuamini takwimu zinazotolewa na source nyingine zaidi ya IEBC.

Hilo la system ya kuhesabu kura kuwa hacked nimelisoma mahali na bado nalifuatilia kujua ukweli wake.
Hackers watakupa report sasa hivi.
 
Hizi ndizo propaganda za kijinga ambazo zinaweza kuitumbukiza Kenya kwenye machafuko tena. Jaribu kuuepuka ujinga kama huu.

Tiba

Kwa vipi zitaitumbukiza Kenya matatani kama member amepost hapa ili tupate picha ya kinachoenda kutokea? Au uko tayari kuangusha varangati kwa sababu ya uchaguzi wa Kenya?
 
Nime ikubali sana point yako
 
this is what Happened around saa saba

Kisumu County Results: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 #Ballot2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…