figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Odinga oyeeeeeee....!!!!. Mia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa uo muda ulioutmia kunijibu si ungeniwekeea hapa..tatizo muda tuko bize kusaka manoti wewe acha kelele gonga kitu online hapo ucheki acha uvivu
Hizi ndizo propaganda za kijinga ambazo zinaweza kuitumbukiza Kenya kwenye machafuko tena. Jaribu kuuepuka ujinga kama huu.
Tiba
Huelewi nini hapo mkuu, au huna taarifa jangili wa kimataifa weka mbali na Tembo wetu yupo Kenya?
Mwita Maranya una taarifa yoyote kuhusiana na habari hizi hapa chini?Hiyo haiwezi kuwa reliable and credible source ya majumuisho ya kura. Kwa sasahivi tujitahidi kuzingatia kile kinachotolewa na IEBC tu haya mengine yanaweza kusababisha hasira na minyukano na ukizingatia kwamba watu wameshaanza kuchoka kusubiri.
Eng.James Rege MP karachuonyo an IT guru who detected that the IEBC systems have been hacked to ensure the gap is permanent however more results streaming from Rao's strong holds….. Rege has been the regional IT man of google in Africa,and also worked as the chief IT point man of CNN. Meanwhile Raila leads
Chanzo: CORD EFFECT... - Politics - Wazua - Forum2 People have been arrested in regard to Hacking of IEBC System,2 are still on the Run. Stay cool as we wait for the official results.
Sasa uo muda ulioutmia kunijibu si ungeniwekeea hapa..
KTN inaonyesha matokeo rasmi jinsi yanavotangazwa na iebc baada ya kuhakiki matokeo yalowasilishwa physically na returning officers. Final tally as opposed to provisional tally.
..Binafsi mimi napongeza kusimamisha hayo matokeo kwani kitu mbaya ilikuwa inaenda kutokea!
Kuna engineer mmoja wa safaricom ambaye matokeo alikuwa anayadoctor kabla ya kuyarusha HOUSE OF BOMASI na tume kuyarusha bila hata kudhibitisha! Baada ya kustuka tume imekodisha hadi chopa kuwafuata wawakilishi toka majimbo yote kuja Nairobi physically ili waweze kuhakiki yale yaliokwisha tangazwa na ambayo bado basi sasa hivi hakuna kupitia safaricom ni mwendo wa manual!
Nafikiri ni hatua nzuri kwa amani ya kenya na husisahau tume ina siku saba za kutangaza maatokeo na sasa ndo tunakaribia 48hrs.
We subiri
Raila Odinga atangazwe mshindi baaaaasi...hayo mengine maigizo kuonesha kama kuna umakini wa hali ya juu.....
Mwita Maranya una taarifa yoyote kuhusiana na habari hizi hapa chini?
Chanzo: CORD EFFECT... - Politics - Wazua - Forum
Hackers watakupa report sasa hivi.Kama nilivyosema tangu awali, katika hatua hii ya sasa sitaki kupoteza muda kuamini takwimu zinazotolewa na source nyingine zaidi ya IEBC.
Hilo la system ya kuhesabu kura kuwa hacked nimelisoma mahali na bado nalifuatilia kujua ukweli wake.
Hizi ndizo propaganda za kijinga ambazo zinaweza kuitumbukiza Kenya kwenye machafuko tena. Jaribu kuuepuka ujinga kama huu.
Tiba
Nime ikubali sana point yakotatizo A free car hawawezi kufanya maamuzi yao binafsi bila kutegemea nchi za magharibi ukute hapo wanampigia Obama kumuuliza wafanyanyaje maana mzee wa ze hegi anachukua nchi sasa kila matokeo yakitoka wanampigia hoo mzee kura zake zinaendelea kupanda tufanyanyaje jamaa anawajibu ebu angalieni kituo kinachofata sasa Obama ukute kachoka sasa hapokei simu yao wamebidi wasubiri kwanza atakapopokea awajibu kama wampe Uhuru nchi au vipi sasa wataala wa mambo wanajadili njia za kuiwekea Kenya vikwazo na kama huyu jamaa atakubali kuhudhuria ze hegi akiwa Raisi. Fatu bensuda naye nasikia kapigiwa simu nyingi anawajibu tu shauri zenu ntajua wenyewe sasa wanaogopa