Wizi mtupu na mbaya zaidi ma-director wa picha ni wabongo wakiongozwa na jangili mzoefu kinaanaa.

Mwenzio nimeamua kukaa hapa http://elections.nation.co.ke/news/-/1631868/1712792/-/oshxpaz/-/index.html maana naona JF hakuna updates. Na tangu tatizo libainike kuna mabadiliko makubwa sana. Hata gap kati ya RA na UK linapukutika kwa kasi. Mfano check hizi updates:Kama nilivyosema tangu awali, katika hatua hii ya sasa sitaki kupoteza muda kuamini takwimu zinazotolewa na source nyingine zaidi ya IEBC.
Hilo la system ya kuhesabu kura kuwa hacked nimelisoma mahali na bado nalifuatilia kujua ukweli wake.
| Constituency | Raila Odinga | Uhuru Kenyatta | Musalia Mudavadi | Rejected Votes |
| Rongo | 33,728 | 1,103 | 57 | |
| Wundanyi | 16,528 | 1,327 | 167 | |
| Kajiado South | 17,500 | 24,000 | 104 | |
| Kajiado Central | 19,995 | 14,745 | 110 | |
| Diaspora | 1,224 | 951 | 10 | |
| Mwatate | 19,816 | 1,888 | 236 |
Mwenzio nimeamua kukaa hapa LIVE: Kenya counts votes in pivotal elections - CAMPAIGN NEWS - elections.nation.co.ke maana naona JF hakuna updates. Na tangu tatizo libainike kuna mabadiliko makubwa sana. Hata gap kati ya RA na UK linapukutika kwa kasi. Mfano check hizi updates:
17:19 IEBC official presidential results from six constituencies:
Constituency Raila Odinga Uhuru Kenyatta Musalia Mudavadi Rejected Votes Rongo 33,728 1,103 57 Wundanyi 16,528 1,327 167 Kajiado South 17,500 24,000 104 Kajiado Central 19,995 14,745 110 Diaspora 1,224 951 10 Mwatate 19,816 1,888 236
KAUNTI ya Kisumu: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 ; Muite 88.
KAUNTI ya KISII, matokeo ya muda: Raila 235,934; Uhuru 95,006; Mudavadi 2,607; Kenneth 2,606; Karua 2,464;Kiyiapi 2,080; Dida 925;Muite 727
IEBC: Mwatate - Kiyiapi 192; Karua 263; Dida 99; Mudavadi 326; Muite 58; Kenneth 183; Raila 19,816; Uhuru 1,888. Zilizoharibika 238.
KURA za Kakamega: Raila 291,462; Mudavadi 137,223; Uhuru 14,919.
Matokeo ya nje ya nchi: Raila 1,224; Uhuru 951; Mudavadi 20; Kenneth 78; Muite 1; Dida 6; Kiyiapi 7; Karua 31
Kaka Tiba tusaidie. Hayo matokeo hapo juu hayathibitishi kuwa kulikuwa na hitilafu?

this is what Happened around saa saba
Kisumu County Results: Raila 336,539 (96.5%); Uhuru 4,611 (1.32%); Mudavadi 3,767; Kenneth 578; Kiyiapi 368; Karua 176; Dida 209 #Ballot2013
Mlachake hiyo ni baada ya kuhesabu manually?this is what Happened around saa saba

(4) A candidate shall be declared elected as President if the candidate receives-
(a) more than half of all the votes cast in the election; and
(b) at least twenty-five per cent of the votes cast in each of more than half of the counties