March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Source nani wakati matokeo yanahesabiwa manual acha urongo
 
Citizen tv ndio wameandika maana wamerudia hesabu kura uoyaaaaa
 
Bangi mbaya kabisa tena kama chakula kina piga chenga
 
Naona kazi imeanza upya!
hadi sasa maeneo 6 ya ubunge tayari ambapo Raila ana 70% na Kenyata 28%
Bado maeneo 285

source: KTN Live Stream
 
Kama electronic results zinachakachuliwa kwa kweli wahesabu tu manually. Some Kikuyu bwana!
 
Wanahesabu upya manually. Kama unaangalia citizen TV. Mtangazaji kasema unachoona kwenye screen ni fresh result kutoka Boma.
 
duu,ni kweli aisee,nimeshuhudia citizen tv,jamaa alikua anachakachukua live bila chenga
 
Tuwekee source au link!!!!


Mkuu hoja yako naikubali aweke source. Lakini tatizo liko kwenye AVATAR yako mheshimiwa. Ninapofikaga hapa huwa nafunga macho na ku scroll chap chap ili nipite haraka. Tafadhali kiongozi. Nisaidie ubadii hii kitu ili niweze kufuatilia hekima yako mzee! Kumradh!
 
Hayo matokeo yanatoka ngome ya ODINGA, bado ngome za Kenyata

Source:BBC SWAHILI
 
Back
Top Bottom