March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

MBINU YA KUHUJUMU KURA ZA RAILA ILIFANYWA NA UHURU KUPITIA IT
ii mbinu imegundulika kupitia mtandao wa safaricom na kubaini kura zake zilikuwa zikibinywa na wataalam wa IT katika matokeo ya awali na washukiwa wote watachukuliwa atua na tume ya IEBC
 
Yanasomwa sasa huku wengine waliyakataa angalia citizen
 
umepata wapi hizo data

Wakuu mjue hii ni Afrika. Nilitegemea Kenya watatoa matokeo ya Urais within 24 hrs lakini wapi! Ilikuwa watume matokeo kwa mtandao lakini inasemekana system ime crash! Kwa hiyo matokeo yote yale ya jana ambayo yalikiwa provisional yamefutwa hivyo returning officers wote wanatakiwa wabebe documents za matokeo hado Bomas of Kenya, Nairobi ili yatangazwe na Tume ya Uchaguzi. Kwa hiyo hayo tunayoyaona ni official results na hakuna provisional results tena. Raila ana 69% na Kenyatta 27%. Matokeo ya Kisumu ndiyo yametangazwa. Naona watu wanaanza kupiga kelele ndani ya Chumba cha Kutangazia. Afrika inakwenda kombo
 
ni matokeo kutoka kwa baadhi ya constituencies, sio summary ya prov results, so this z not conclusive ila ni indication ya Raila kuja juu....ila mchuano bado ni mkali , no research no right to speak , cheki kwa tv yako ndo utajua ukweli. Mpaka dakika hii ni constit... 6 tu kati ya 290 ndo wametangaza kura...
 
Haipiti mwezi mmoja wakenya lazima wataingia kwenye machafuko, coz matokeo yatakapotangazwa alieshindwa ataona ameonewa.
 
wengine tulishayajua longtime! Odinga ameshinda huo ndio ukweli!
 
ni matokeo kutoka kwa baadhi ya constituencies, sio summary ya prov results, so this z not conclusive ila ni indication ya Raila kuja juu....

Citizen wanachotoa ni official or final results ukipenda si provisional tena.
 
Ni kweli mkuu wanarusha live hii kitu na kuzisoma kwenye hardcopy
 
Inaonekana hawaamini jinsi waziri mkuu wao alivyokuwa anazidi kuachwa, ila Kenya ukikuta eneo fulani limelalia kwa mgombea fulani ni kweli hawana utani, unakuta kati ya wa kwanza na wa pili ni gap la ukweli.

Zimesomwa za Kisumu naona Uhuru kapigwa gap la kutosha, pia zikasomwa za Nyeri Raila kapigwa gap la nguvu.
 
Lakini ukweli ni kuwa haitaisha vizuri itabidi FFU&JWTZ wakaongeze nguvu sasa!
 
Hehehehe!...I see u have resurrected huh?...lol!

Watu walikua wanaleta bafuchafu....thank God for Analogue!!!

..haa ha ha, AbTitchaz, matokeo ni yaleyale, tofauti sasa yanaingizwa manually..
 
Lakini ukweli ni kuwa haitaisha vizuri itabidi FFU&JWTZ wakaongeze nguvu sasa!

Uingereza imeshapeleka vikosi huko. Ingawa wanakanusha kuhusika na maswala ya uchaguzi, wanasema vikosi hivyo vimeenda kwa ajili ya training iliyopangwa muda mrefu...
 
Sikia hiyo ya Uasin Gishu stronghold ya Kenyatta /Rutto
 
dah, bora sasa maana kwa kweli ubakaji wa demokrasi ni mbaya sana

zaidi pia hii ni aibu kubwa sana kwetu afrika bandugu
 
Jamaa aliyewashtua CORD kua kuna mchezo mchafu unaendelea katika maswala ya IT huyu hapa:



Engineer James Rege:


Asante sana Mkuu kwa kutujuza,akili ya kawaida tu ingeweza kuonyesha kulikuwa na kitu si cha kawaida.Haiwezekani gap ya kura ibaki constant kwa zaid ya masaa karibu 12.Sasa mbivu na mbichi zitajulikana!
 
Bangi ni kushangilia siasa za nchi za watu! Wakati za nchi yetu zipo ICU!

Historia inatupa fundisho kwa yale yaliyowapata hawa ndugu zetu uchaguzi uliopita!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…