Duh Kenyatta tena kurudi kwenye usukani
Gap la 600,000 lillokuwa likonyeshwa wakati wakitumia digitali kuhesabu kura litaongezeka na kuwa 1,000,000 cheza na analojia wewe!. Waulize CHADEMA 2010 kuwa iilkuwa digitali ama analojia pale Magamba walipomilki masanduku ya kura!View attachment 85833
gap linaongezeka
Saa 9 na nusu usiku,kenyata 1,716,206 odinga 1,132,272
Saa 9 na nusu usiku,kenyata 1,716,206 odinga 1,132,272
gap limerudi palepale,kumbe didital ilikuwa sahihi,sema team ya Raila haitaki kuamini kama imeshindwa
mpaka wakati unaweka bandiko lako saa tisa na nusu ilikuwa haijafika halafu mechi ya simba na libolo imetoka wapi huwezi kuripoti vizuri mpaka uweke ushabiki wa kipuuzi..
ha ha haaahalafu mechi ya simba na libolo imetoka wapi huwezi kuripoti vizuri mpaka uweke ushabiki wa kipuuzi..
Nasikia mfadhili wenu ametishia tena kujitoaNa kesho naanzisha Libolo special thread...
Ndiyo, nakubaliana nawe Kabisa Mkuu Kimbunga. Kumbuka hapa unamuongelea Mafioso Uhuru. Tena kwa nyongeza, yule jamaa ndiye tajiri mkubwa kenya kuliko wote (kwa takwimu za Forbes za mwaka jana). Hivyo ana "Ngebe" zote, He's Capable of buying anybody there. Pia Kumbuka the whole NSIS ya Kenya imejaa Wakikuyu.Mkuu ukwelikitugani ni hakika kwamba technolojia imekumbwa na tatizo kubwa na huenda imeingiliwa. Hassan anasema kwamba watumiaji hawakupata elimu ya kutosha kutumia mtandao huo pamoja na mtandao wa simu pamoja na kwamba Safaricom waliwapa VPN kwa ajili yao. Kuna kitu kikubwa tu zaido ya hayo tuliyoambiwa. Tutasikia tu kwamba karatasi zilizosainiwa zimeibwa wakati zikipelekwa Bomas. Fikiria returning officer asafiri na karatasi toka Mandera hadi Nairobi kweli kuna usalama hapo? Afrika ni ngumu kama jiwe
Final presidential results to be announced on friday according to IEBC , kama kweli unaangalia citizen ndo kitu kinachoonekana kwenye mstari wa dondoo, ni OFFICIAL BUT NOT FINAL.