March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Raila anaongoza sasa lakini ni kama ametangulizwa na baiskeli ya barafu!
 
Capture1.JPG
Updates...
 
"The IEBC began the verification process well but after announcing about five constituencies, they kicked out the party representatives and went behind closed doors, where there is no check on what they are doing. They are announcing results very quickly, without verifying from the primary source, ie, the polling stations. These results have not been verified or authenticated. CORD officials tried to speak with the IEBC but commissioners sneaked out through a back door and had the CORD officials ejected by force when they were trying to hold a press conference. The media has given this a blackout. This vote is being stolen just as in 2007.
Let us preach peace"


Raila Secretariat
 
Huu mpambano ni kama simba na libolo,baada ya simba kupigwa kamoja home tukadhani mechi ya pili watakomaa wakashindiliwa 4
 
gap limerudi palepale,kumbe didital ilikuwa sahihi,sema team ya Raila haitaki kuamini kama imeshindwa
 
Saa 9 na nusu usiku,kenyata 1,716,206 odinga 1,132,272

mpaka wakati unaweka bandiko lako saa tisa na nusu ilikuwa haijafika halafu mechi ya simba na libolo imetoka wapi huwezi kuripoti vizuri mpaka uweke ushabiki wa kipuuzi..
 
mpaka wakati unaweka bandiko lako saa tisa na nusu ilikuwa haijafika halafu mechi ya simba na libolo imetoka wapi huwezi kuripoti vizuri mpaka uweke ushabiki wa kipuuzi..


Na kesho naanzisha Libolo special thread...
 
Mkuu ukwelikitugani ni hakika kwamba technolojia imekumbwa na tatizo kubwa na huenda imeingiliwa. Hassan anasema kwamba watumiaji hawakupata elimu ya kutosha kutumia mtandao huo pamoja na mtandao wa simu pamoja na kwamba Safaricom waliwapa VPN kwa ajili yao. Kuna kitu kikubwa tu zaido ya hayo tuliyoambiwa. Tutasikia tu kwamba karatasi zilizosainiwa zimeibwa wakati zikipelekwa Bomas. Fikiria returning officer asafiri na karatasi toka Mandera hadi Nairobi kweli kuna usalama hapo? Afrika ni ngumu kama jiwe
Ndiyo, nakubaliana nawe Kabisa Mkuu Kimbunga. Kumbuka hapa unamuongelea Mafioso Uhuru. Tena kwa nyongeza, yule jamaa ndiye tajiri mkubwa kenya kuliko wote (kwa takwimu za Forbes za mwaka jana). Hivyo ana "Ngebe" zote, He's Capable of buying anybody there. Pia Kumbuka the whole NSIS ya Kenya imejaa Wakikuyu.
Hatari tupu.
 
Last edited by a moderator:

Final presidential results to be announced on friday according to IEBC , kama kweli unaangalia citizen ndo kitu kinachoonekana kwenye mstari wa dondoo, ni OFFICIAL BUT NOT FINAL.

Hiyo ya Friday ni overall final results lakini hata hizi za sasa ni official au final za kwenye counties meaning as far as counties are concerned haziwezi kubalika ziko approved na IEBC. Watakachofanya Friday ni majumuisho yote ya kura zilizokuwa approved kutoka counties.
 
Back
Top Bottom