March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

Yawezekana ikawa hivyo haya sio matokeo yangu ni vyombo vya habari huko kenya vimejichanganya kutoa hayo matokea just visthttp://elections2013.nationmedia.com/ hao ndio waliokuwa wamejikanganya nasasa wanasema maeneo 106 wakati idadi ya kura zilizopo hapo ni za maeneo 102 akili kumkichwa full kuwavuruga kina Railonzo
Jamani hivi kuna mazingira kwamba mtu anapata negative votes? Nauliza hivi kwa kuwa last report ilionyesha kwamba Raila alikuwa na kura 1,880,908 wakati maeneo bunge yaliyohesabiwa yakiwa 102, sasa inakuwaje maeneo bunge yameongezeka mpaka kufikia 107 na kura za Raila kupungua na kuwa 1,769,357 kama ulivyoonyesha?

Acha kuleta matokeo ya kupikwa hapa, liheshimu jamvi.

Tiba
 
At 10:38 with 104 out of 290 constituencies reporting, Kenyatta has 2,427,787; Odinga has 1,900,418; Mudavadi has 153,353; Kenneth 22,770; Karua 15,369; Kiyiapi, has 14,462; Dida 10,793; Muite has 4,388. Rejected votes are 38,619. 4,601,549 votes cast.
 
Jamani hivi kuna mazingira kwamba mtu anapata negative votes? Nauliza hivi kwa kuwa last report ilionyesha kwamba Raila alikuwa na kura 1,880,908 wakati maeneo bunge yaliyohesabiwa yakiwa 102, sasa inakuwaje maeneo bunge yameongezeka mpaka kufikia 107 na kura za Raila kupungua na kuwa 1,769,357 kama ulivyoonyesha?

Acha kuleta matokeo ya kupikwa hapa, liheshimu jamvi.

Tiba

Kuwa mpole mkuu Tiba uone viijana wa ICC wanachukua nji kiulaini ,Raila alishajua ameshindwa akaanza mbwembwe sasa kitu manually anatoka mapovu. Hayo ndio matokeo halisi mkuu ,sio provision results kama ya jana na juzi... yanatangazwa live vituo vyote vya tv Kenya.

Kuwa mpole upewa updates jinsi UK na RUTO wanavyouweza ukabila
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa unamaanisha nini Mkuu, kwenye electronic kinachosemekana ni kuwa walikuwa wanachakachua matokeo na Uhuru kuongoza na machine waliziseti kusiwe na badiriko katika tofauti waliyoitaka na lengo lao Uhuru ashinde.

Ukitizama vizuri idadi ya kura zilizoharibika imepungua sana.
 
Huu mpambano ni kama simba na libolo,baada ya simba kupigwa kamoja home tukadhani mechi ya pili watakomaa wakashindiliwa 4

duh...utatuua kwa vicheko mkuu.
Mie washanichanganya tayari sijui which is which na vile muhongo ashafanya vitu vyake hapa,no Tv na charge ndo inaishilizia.kha!
 
Sijakuelewa unamaanisha nini Mkuu, kwenye electronic kinachosemekana ni kuwa walikuwa wanachakachua matokeo na Uhuru kuongoza na machine waliziseti kusiwe na badiriko katika tofauti waliyoitaka na lengo lao Uhuru ashinde.

Unajua mkuu kibogo tatizo lilipo kwenye uchaguzi wa Kenya sasa ni kuwako kwa maelezo yanayopingana kwa jambo moja.. Inategemea uko upande gani kwa maana ya kila upande una maana yake.. Hizi machines zilikuwa hacked baada ya kuendelea kutoa matokeo yalioonyesha Uhuru kuendelea kuongoza kwa margin ya 500,000 plus votes.. Swali jee ni kweli zilikuwa zimefanyiwa settings kama inavyodaiwa..? IEBC wamekanusha kuwepo na madai ya machines kufanyiwa settings za hivyo.. So either way Mkuu mwisho wa siku inaonyesha nguvu kubwa inatumika hapa.. Ndo maana nimemuomba Mungu awaepushe Wakenya na vurugu..
 
Last edited by a moderator:
Kinanchofurahisha hapa ni kwamba hata wale wengine nao sasa wanapata kura, tofauti na zile za kielectronikia.
Ni mapema mno kutabiri mshindi.
 
[h=2]LIVE: Uhuru maintains lead in official results [/h] 10:53 With votes from 108 constituencies counted, Kenyatta has 2,475,700; Odinga has 1,928,627; Mudavadi has 153,571; Kenneth 23,085; Karua 15,422; Kiyiapi, has 14,529; Dida has 13,626; Muite has 4,413. Rejected votes are 38,954. Votes cast 4,670,48
 
Kama Uhuru ameshinda apewe ushindi maana mgombea wangu Peter Kenneth amekubali mapema.
 
Breaking News

10:53 With votes from 108 constituencies counted, Kenyatta has 2,475,700; Odinga has 1,928,627; Mudavadi has 153,571; Kenneth 23,085; Karua 15,422;...

nahapo Tiba utabishana na ukweli lile gap la digtali bado linaendelea vile vile kama kawa

Jamani hivi kuna mazingira kwamba mtu anapata negative votes? Nauliza hivi kwa kuwa last report ilionyesha kwamba Raila alikuwa na kura 1,880,908 wakati maeneo bunge yaliyohesabiwa yakiwa 102, sasa inakuwaje maeneo bunge yameongezeka mpaka kufikia 107 na kura za Raila kupungua na kuwa 1,769,357 kama ulivyoonyesha?

Acha kuleta matokeo ya kupikwa hapa, liheshimu jamvi.

Tiba
 
Ile ile laki sita, Duhh, nimeanza kuona mruerue. Lakini tuyaache mapenzi ya waKenya yatimie. Kuna wakati wa kila jambo.

Mungu kampenda zaidi Odinga kwa kumwepusha na majukumu mazito ya kuongoza taifa linaloongozwa na fikra za kikabila kama Kenya.
 
Pia nitafurahi mchezo ukiishia raundi ya kwanza tu ili mpangaji mpya wa ikulu ya Kilimani jijini Nairobi ajulikane mapema kama ni mwana wa Jaramogi au mwana wa Kamau
 
"kuliko mjaluo aongoze kenya....bora ikulu tuweke jiwe".....na kwa kauli hizooooo....na dalili hizi tuzionazo.....lazma tena damu imwagike hapo kenya kwa our aggressive neighbors...sio kwa mapenzi yangu bali mapenzi yako baba yatimizwe.
 
Naona Raila kishaumia aisee...

Raila alishaumia siku nyingi wee mwangalie usoni utaona ana kovu kubwa sana sijui nani alimpiga panga? au ni kwenye vurugu za last time sasa mtu ninayemwonea huruma zaidi ni kalonzo mwosioka yaani na lile lijumba lipya ndio mwanaume Rutho anaenda kulibikiri. huyu jamaa ndio siasa byebye tena.

raila ataendelea kula pensio kama Lowasa
 
Back
Top Bottom