tofauti ya kura laki sita bado inang'ang'ania.
Jamani hivi kuna mazingira kwamba mtu anapata negative votes? Nauliza hivi kwa kuwa last report ilionyesha kwamba Raila alikuwa na kura 1,880,908 wakati maeneo bunge yaliyohesabiwa yakiwa 102, sasa inakuwaje maeneo bunge yameongezeka mpaka kufikia 107 na kura za Raila kupungua na kuwa 1,769,357 kama ulivyoonyesha?
Acha kuleta matokeo ya kupikwa hapa, liheshimu jamvi.
Tiba

Sijakuelewa unamaanisha nini Mkuu, kwenye electronic kinachosemekana ni kuwa walikuwa wanachakachua matokeo na Uhuru kuongoza na machine waliziseti kusiwe na badiriko katika tofauti waliyoitaka na lengo lao Uhuru ashinde.
Huu mpambano ni kama simba na libolo,baada ya simba kupigwa kamoja home tukadhani mechi ya pili watakomaa wakashindiliwa 4
Sema baada ya Kuingizwa "Mujini" (kuibiwa) na Wakikuyu, na siyo kushindwa. Au weye Bwana kiongozi Hukumbuki uharamia wa Kibaki?!!!
Sijakuelewa unamaanisha nini Mkuu, kwenye electronic kinachosemekana ni kuwa walikuwa wanachakachua matokeo na Uhuru kuongoza na machine waliziseti kusiwe na badiriko katika tofauti waliyoitaka na lengo lao Uhuru ashinde.
Jamani hivi kuna mazingira kwamba mtu anapata negative votes? Nauliza hivi kwa kuwa last report ilionyesha kwamba Raila alikuwa na kura 1,880,908 wakati maeneo bunge yaliyohesabiwa yakiwa 102, sasa inakuwaje maeneo bunge yameongezeka mpaka kufikia 107 na kura za Raila kupungua na kuwa 1,769,357 kama ulivyoonyesha?
Acha kuleta matokeo ya kupikwa hapa, liheshimu jamvi.
Tiba
Ile ile laki sita, Duhh, nimeanza kuona mruerue. Lakini tuyaache mapenzi ya waKenya yatimie. Kuna wakati wa kila jambo.
Bado karibu theluthi 2 ya kura zote kuhesabiwa.
Mungu kampenda zaidi Odinga kwa kumwepusha na majukumu mazito ya kuongoza taifa linaloongozwa na fikra za kikabila kama Kenya.
Naona Raila kishaumia aisee...